Doh! mkuu umepewa picha umemaliza kila kituMC Pili pili
"Ndoa yangu ingekuwa hai,ningekuja na mke wangu nikamlipa Harmonise hapo mbele yangu"
Na anakoja kwa demu mwenye degree pale IFMMmakonde anapumzika pazuri. Japo hajasoma kama sisi
Hayanaga fomula mapenzi.
Inaonekana amejawa na mawazo sana!
Comrade! Hapa duniani ukitaka kuheshimiwa/kufaidi vitu vizuri, wewe miliki tu hela au mamlaka! Ila siyo kusoma.Mmakonde anapumzika pazuri. Japo hajasoma kama sisi