sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,568
- 7,430
Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje.
Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu alisema hamjui na akatukana matusi mazito sana ya ndani ya nguo. Hata walipoendelea kuomba msaada kwa ajili ya matibabu aliwakataa.
Hii inaendeleza history ambayo si nzuri aliyonayo msanii huyu kwa watu anaofanya nao kazi. Amekuwa akiwageuka pindi wakipata matatizo.
Huu tuite ni usaliti au roho mbaya?