Uliyeoa/kuolewa: Je, unaweza kubadilishana simu na huyo mwenza wako japo kutwa moja tu?

Tuache kwanza.
Kuna mtu unampa simu anafukunyua mengine… imagine mams wako umeomba akiboost ‘afu sasini’/30k
Anakujibu hana hata mia… ila unashika simu yake unakumbana na salio jipya laki 3 utajisikiaje?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 haya mambo wanafanyaga wale immatured...

Ila kuna mda haya mambo unaona hayana maana.

Tukirudi kwenye mada.
Simu yangu yeye anashika sana ila sio kubadilishana kwa siku nzima.

Yake mara nyingi natumia maana yeye akirudi kazini huwa kachoka mno hivo huwa ananiachia kwa ajiri ya ku hotspot Pc nifanye kazi....

Simu za mashangazi hazina mambo mengi zaidi zaidi utakuta call za wanae.

Kwa ujumla naweza kukaa na simu yake hata siku tatu ila kinachofanya iwe ngumu ni simu ya kazi. Kazi..
 
Achukue tu na wala sitaki yake ila atakachokumbana nacho abaki nacho mwenyewe, sitaki maswali.

Vikimuelemea alie mpaka achoke then anirudishie simu yangu.

Hapo ni simu kubwa akishika. Siku akigumia kile kitochi ninachoficha kwenye engine ya gari nahisi ndoa itaishia hapo hapo. Kuna mabaradhuli yanajua kutuma msg, jitu linafafanua jinsi atakavyozifanya korodani zangu kwa kutumia kinywa chake tu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 haya mambo wanafanyaga wale immatured...

Ila kuna mda haya mambo unaona hayana maana.

Tukirudi kwenye mada.
Simu yangu yeye anashika sana ila sio kubadilishana kwa siku nzima.

Yake mara nyingi natumia maana yeye akirudi kazini huwa kachoka mno hivo huwa ananiachia kwa ajiri ya ku hotspot Pc nifanye kazi....

Simu za mashangazi hazina mambo mengi zaidi zaidi utakuta call za wanae.

Kwa ujumla naweza kukaa na simu yake hata siku tatu ila kinachofanya iwe ngumu ni simu ya kazi. Kazi..
😂😂😂 Tayar
 
Mwanaume anaejielewa anapaswa awe huru na simu yake kuweza kushikwa na mkewe saa yeyote bila ya wasiwasi.

Mwanaume anaejielewa hatoi namba yake kuu kwa michepuko.

Mwanaume anaejielewa lazima amiliki namba mbadala ya siri kwa ajili ya mawasiliano tata ambayo hayapaswi kujulikana na mkewe.

Abarikiwe alievumbua vitochi.
 
Yani wewe ubaki na simu yake hlf akupe yake kwa KUTWA MOJA tu.
eti wakuu?

inawezekana au tuwaache kwanza?

maana wengine hamkawii kudai tunawaonea wivu
Mfumo wangu wa maisha hauruhusu simu yangu iwe mbali na mim,

Me mfanya biashara kpitia sim
 
Back
Top Bottom