saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,374
- 6,397
Unataka uletewe mke nyumbani?Mambo mengine ni uzembe wako tuAisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!