Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,034
3,347
Wakuu, hii ni story ya kweli ya tukio likilonikuta few years ago.

Wakati nafanya kazi Dar es Salaam kwenye kampuni fulani ya usafirishaji, waliletwa wafanyakazi wapya watatu wa kike.

Kila ofisa mzoefu alikabidhiwa binti mmoja amfunze kazi pale kwa ofisi. Mimi nilikabidhiwa binti mmoja mrefu na mwenye shape kama Hamisa Mobeto(jina kapuni)

Ktk kumpa uzoefu kazini, tukazoeana hadi kufika stage ya kumpiga sound ila hakunipa jibu lolote ila akawa anaelewa hisia zangu sasa.

Baada ya wiki kadhaa, nikamkaribisha Getto... Akajibu tu nitakujuza nikiwa free.

Siku moja Jumapili, akanipigia simu, 'Mjina uko nyumbani?' nikamjibu ndio.

Akaniambia niko hapa makumbusho, nikitoka nakuja kukupa hi nyumbani kwako. Nikasema sawa.

Mwamba nikajikoki vilivyo, nikanunua zana kabisa, kisha nikaweka vinywaji kadhaa kwa friji pamoja na mbuzi choma kg 1 na ndizi rost

Baada ya 1hr hivi akaniambia nimepanda gari, nishukie kituo gani? Nikamwambia shuka Sinza Kumekucha (kituo feki hiki).. Haikupita muda akaniambia nimeshuka tayari njoo unichukue. Nikamwambia achukue boda imlete sehemu nilipo(nilimjuza boda via simu ya demu).

Baada ya muda kidogo akafika. Nikatoka na kumpokea nikamleta hadi getto. Ameingia ndani nikampa juice akanywa, pombe alisema hatumii.

Amekaa muda kidogo, akaanza kusema 'Mjina naondoka muda si mrefu',.. Mimi nikapotezea na story mbili tatu ili azoee kidogo. Lakini baada ya dk kadhaa tena akaniambia tena, Mjina naondoka baada ya nusu saa....' nikajiuliza huyu mtoto anataka dyudyu mapema mapema ili aondoke nini?... Nikasema ngoja nimsogelee nianze usumbufu kuona kama atalainika nimle..

Ile nimemsogelea tu, kuanza kumpelekea mkono, aliruka na kuanza kumind kuwa yeye kaja kunisalimu halafu mimi nimeanza kuwaza ngono..

Akamind kinyama very serious akachukia kabisa hadi akachukua vitu vyake na kusepa bila kuniaga. Wiki iliyofuata hakuongea na mimi kazini yote, ila baadae akaja kunitext tukarudi normal.

Baada ya muda wa wiki kadhaa, akanipigia tena simu siku ya Jumapili na kusema kajipanga kuja kwangu. Kipindi hiki sikuwa nimemwomba mimi aje, maana nilikua nishampotezea.

Alipofika getto, alinikuta nacheki movie yangu, akaketi na kuanza kuchek movie na mimi... Sikutaka kumgusa tena maana aliniudhi that day.. But nikasikia anasema tena kuwa Mjina ninaondoka si muda, nikamjibu sawa. But hakuondoka bali kila baada ya muda anarudia kuwa anataka kusepa.

Nikasema hii pisi itakuwa leo imekuja kwa ajili ya dyudyu... Nisipoila itanidharau.. Nikaisogelea, nikaanza kuipigisha story za mapenzi na baada ya muda nilipoona kama anapata hisia, nikaanza kupitisha mkono kwenye mapaja maana alikua kavaa skirt fupi.... Yaani akaleta Mchezo ule ule na akamind na kusepa.. Akanitumia txt nimsindikize, sikwenda na txt sikujibu.

Kazini tukarudi akanisalimia namjibu kisha naendelea na mishe zangu. Nikawa mazoea sitaki kabisa maana pia kazi alishazoea.

Out of nowhere, weekend moja nimechill getto mida ya saa moja, nikasika mlango umegongwa, kufungua, mrembo huyu hapa tena.. Akaingia ndani wala sikumkaribisha.. Wala sikumpa maji, wala chochote cha kula/kunywa. Kwa kuwa alikua kazoea pale kidogo, alijisevia mwenyewe huku mimi nacheki movie nimejilaza kwenye kapeti pale sebuleni.. Yeye alijilaza kwenye sofa..

Baada ya muda akasema kachoka kulala kwenye sofa, akasogeza mto chini kwenye kapeti akaja akalala uelekeo ule niliokua nimelala. Sikua na time nae, yeye ndio alikua akiniongelesha na kujichekesha. Ikatokea kuna wakati anajigeuza, akajikuta kaniwekea mkono kwenye kifua (nilikua kifua wazi).. Nilisisimuka mwili mzima huku dushe ikisimama kwa mwendokasi maana mikono ilikua laini ile.

Ushetani ukanipanda, nikamgeukia nikajaribu tu kushika ziwa. Alinyanyuka pale chini like flash na ku shout kuwa mimi tabia yangu ni ile ile kuwaza ngono kila akija.

Wakati huo mvua ilikua inanyesha, alivaa viatu vyake, akachukua mkoba wake na alikua na kimwavuli kidogo akasepa kwa hasira... Nili mind kinyama nikamtxt 'usikae uje getto kwangu tena' Ilikua majira ya saa tatu usiku. Basi baada ya ile txt yangu, akanipigia simu sana sikupokea.

Akanitumia txt..'Im sorry Mjina, I will give my body to you siku ukija kwetu kujitambulisha kuwa unataka kunioa'... Sikumjibu na nikampotezea mazima.

Sasa wakuu, kuna yeyote yule ameshawahi kutana na situation kama hii na demu kuja getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda? Au niko peke angu?

-------------------

Well, Habari wakuu?

Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara.

Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka.

Binafsi nilishapata opportunity hiyo kwa madem wawili tofauti na nikashindwa. Opportunity ya dem wa kwanza nilishaisema kwenye uzi huu Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Opportunity ya dem wa pili niliipata nikiwa field 7 years ago mkoa flani wa kanda ya kati. Siku moja tumetoka ofisini, nikaongozana na mwenzangu wa kikewa chuo flani ambaye tulikua tukipiga nae field. Getto kwangu ilikua ni karibu na ofisi ila kwa dem ilikua mbali. Nikamwambia apitie getto tupike pale tule kisha ndo nimsindikize kwake. Akakubali.

Aliingia getto, nikataka kupika akasema niache apike yeye. Kiliiva mida ya saa moja tukala kwenye sahani moja. Tulipomaliza, tukapiga story mbili tatu, shetani likaanza kunipanda nilipoona paja lake(alikua kavaa kisketi kinachofika magotini kwa chini kidogo, so akikaa kinapanda... Nikamwambia ninaomba nimpe zawadi ya hug since kanipikia chakula kitamu sana. Kweli alisimama nika mhug tightly sikuona upinzani, nikaanza kupapasa mgongoni kuelekea kwenye kijungu chake, akanipa ushirikiano. Nikaanza romance, akaisikilizia kwa muda huku akitoa ushirikiano... Then akajitoa kifuani akasema.. 'that's what I can give you for now'.. Akaanza kuchukua kibegi chake aondoke.

Kila nikimsogelea kutaka kumfanyia jambo akawa anakataa.. Nikasema isiwe kesi, nikamwacha aende. Nilikuja kukaa miaka miwili nikamtongoza ndo nikaja kumla baada ya kuwa dem wangu kabisa.

Je kuna situation uliyowahi kushindwa kula tunda kimasihara?
 
Haya mambo haya ... mwanaume wa kiafrika kustaarabika tachukua miaka mingi sana .... Dem kuja ghetto (kwa baadhi lakini) sio tiketi ya kutaka kumlala.usidhani kufanya ngono ndio kutampa mwanamke attention kwako never ever.badilika man usikariri Sana maisha.
 
Wanaume huwa mumejaa upumbavu Sana Sasa mtu wa kazini uzini naye sikujishishia heshima tu huko hafu ukute una kibamia chako, atoke kwako aende kwa mwingine wivu siutakuua.
Rafiki yangu aliwahi nialika kwake akaja akanichukua niende Mimi Sina wazo la mawazo ya kingono kufika eti anataka kunishika kinguvu nilimpiga kibao mpaka akaxinduka nikakimbia na kutoka nje, mpaka leo urafiki umekufa.
 
Haya mambo haya ... mwanaume wa kiafrika kustaarabika tachukua miaka mingi sana .... Dem kuja ghetto (kwa baadhi lakini) sio tiketi ya kutaka kumlala.usidhani kufanya ngono ndio kutampa mwanamke attention kwako never ever.badilika man usikariri Sana maisha .
Umeandika ukweli Sasa hapo akikufanya kwa nguvu ukaenda police ni anaozea jela
 
Hyo imenitokea mara kadhaa mpk kuna wakat hua najihis me ni mtu wa mikosi tu, dem unamtongoza anakubal lkn baadae analeta mizengwe, kla nakumbuka kuna siku nilichoambulia ni kunyonya titi tu, nikitaka kumla anasema hakna mapenz yanayoenda kwa haraka hvy na mapenz sio lazima... Mpk ikatokea nikapat safar lkn sikumla
 
Wanaume huwa mumejaa upumbavu Sana Sasa mtu wa kazini uzini naye sikujishishia heshima tu huko hafu ukute una kibamia chako, atoke kwako aende kwa mwingine wivu siutakuua.
Rafiki yangu aliwahi nialika kwake akaja akanichukua niende Mimi Sina wazo la mawazo ya kingono kufika eti anataka kunishika kinguvu nilimpiga kibao mpaka akaxinduka nikakimbia na kutoka nje, mpaka leo urafiki umekufa.
Mmmnh aibu sana.. Hakuna kitu chenye aibu kama kuforce penzi aisee
 
Wanaume huwa mumejaa upumbavu Sana Sasa mtu wa kazini uzini naye sikujishishia heshima tu huko hafu ukute una kibamia chako, atoke kwako aende kwa mwingine wivu siutakuua.
Rafiki yangu aliwahi nialika kwake akaja akanichukua niende Mimi Sina wazo la mawazo ya kingono kufika eti anataka kunishika kinguvu nilimpiga kibao mpaka akaxinduka nikakimbia na kutoka nje, mpaka leo urafiki umekufa.
mkuu mimi ukijaa geto lazima uliwe, saikolojia ya mwanamke ni rahis mno kuiteka ukiwa mjanja, kama unabisha 1day nikualike then tuone kama utatoka salama bila kuliwa
 
Back
Top Bottom