Django doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,561
- 4,811
Duuuh JamiiForums inanifungua sana akili hasa hasa hii thread ya kimasihara maana wanawake wanaoliwa wote unakuta ni eitherWiki iliyopita nikiwa jijini hapo nikafika taasisi flani ya serikali kupata huduma flani. Hiyo ofc nikatumia siku 3 hadi nakamilisha mishe zangu. Nikaelekezwa niende ofc husika, nikamkuta wadada wawili ila mmoja ndo mhusika wa ishu yangu. Akanielekeza mambo kadhaa nikaendelea na issues siku ikaisha. Siku ya pili nikaendelea nilipoishia jana yake, hapo ndo shida ilipoanzia. Nikaona ananiuliza au kunisemesha kirafiki sana hadi nikawa najiuluza mbona huyu kawa mwema sana kwangu. Kuna wakati document ya kuprint au kutoa copy ananitolea tu kwa mashine ya ofc, wakati wengine wanahangaika kwenda kutoa nje ya ofc.
Tukiwa tumeshapeana namba za sim mawasiliano ya hapa na pale yakaendelea. Hiyo siku ya 2 mpaka wanafunga ofc na mm ndo natoka, kumbe anaenda njia moja na mm. Sasa mm nimefikia lodge, ila yeye anakaa kwao ni mbali kidogo pembezoni mwa jiji la Dar. Nikawapa lifti yeye na rafiki yake, sasa ili kulipa fadhila nikaona niwasogeze kidogo.. basi mwamba nikawapeleka, alitangulia kushuka rafiki yake yeye akabaki. Sikutaka kumsumbua kabisa. Alipofika nikarudi ila akawa ameshajua nipo lodge.
Usiku mawasiliano yakapamba moto mara ananiulizia nafanya nn. Nikaona kama ana hofu isije kuwa nimejichukulia demu mtaani. Kesho yake namalizia issues zangu alinisaidia fasta nikamaliza mida ya saa 8. Yeye anatakiwa atoke saa 10. Akaniuliza leo lifti hatupati? Nikasema bado nipo hadi saa 10 sitawaacha. Muda ukafika haooo tukaondoka, alipofika rafiki yake, akasema ujue haijazoeleka kufika home mapema. Nikamwambia tupite sehem tupate hata kinywaji basi. Akakubali. Nikamwambia ww ndo unajua mitaa so nielekeze. Basi tukaenda. Tukapiga nyama choma za kushiba na vinywaji. Nikamwambia mi nasepa kesho mapema sana kabla ya mabasi. Akasema jamani ntakumisi, nikamwambia twende upafahamu nilipofikia. Akanipiga jicho flani la mshangao, akasema alaf utanirudisha tena huoni tunaongeza mzunguko tuu? Nikasema mi ndo mwenye gari, ndo mwenye kujaza mafuta na ndo dereva, wee hofu ya nn?
Basi mtoto akakubali.. tukaingia zetu room saa 1 usiku, nikajichapia usiku kucha na hakwenda tena kwao. Kilichonishangaza nilikuwa nawaza ataendaje kazini hana nguo za kubadili, laaa haulaaa, kumbe alikuwa na complete set ya nguo ya kubadili (chupi, tight, na nguo za juu full). Swali, alijuaje kama kuna uwezekano wa kutokurudi home?
Asubuhi nikamsindikiza job nikamwachia 40k, nikaendelea na safari. Mtoto mzuri sana ana miaka 25, ngozi nyororo, mtoto wa kiislamu, mtoto wa pwani na shape lake namba 8 mguu wa bia Shughuli anaijua akiifinya kwa ndani unahisi vibration mwili mzima. Sasa tunawasiliana anasema ana mchumba ila shughuli niliyompa imemfanya haoni hamu ya huyo mchumba.
Ameniomba nirudi Dar fasta
(mke wa mtu / demu wa mtu).
Endeleeni kushusha visa wakuu 😎💳 MMU