TANZIA Ulale salama sajenti Rose Nyawira

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,219
4,725
Wadau hamjamboni nyote

Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi.

Mwendazake alikuwa mpiga picha wa mwendazake CDF Kenya

1713717282566.jpg
1713717685161.jpg
1713717566286.jpg
 
Wewe ni miongoni mwa hao watu wanaopanga ratiba za watu kufa nini???Mbona naona Kama unajishitukia wewe mwenyewe?????? Wewe ulishawahi kuona au kusikia wapi watu wauaji wanakubali kiurahisi kwamba kweli wao ndio wauaji??
Jibu swali ni confirmed au ni speculations Tu? Acha kurefusha mdomo wewe sio msemaji WA taasisi yoyote wala hata ukoo wako.
 
Back
Top Bottom