Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,926
- 3,747
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi
OKOA kibunda
OKOA kibunda
Imeandikwa mtu hataishi kwa mkate ila kwa kila neno litokalo kwa Bwana.Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi
OKOA kibunda
Sasa kuwa na hela bila wanawake, yafaa nini?Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi
OKOA kibunda
Achan na kuonga tunza hela kisha nunua shamb panda miti tuokoe uoto wa kijaniSasa kuwa na hela bina wanawake yafaa nini?
Cha msingi ni kuishi kwa nidhamu kwa bajeti yako. Usihonge nje ya bajeti. Hudumia kwa kiwango unachomudu.
Tena sio utani
Kitu kinamaliza pesa za vidume ni chupi,chupi,chupi
SAMAHI MKUU MJOMBA WAKO NI JINSIA GANI ME AU KE.....?
nani kasemaWanawake ni viumbe wa ajabu sana.....
Wao wenyewe wanajielezanani kasema