Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,044
- 9,938
Muuza madafu wa ikulu alusema amecheza boxing na karate kidogo, akasema ukija bila gadi anagawa wastani kwa idadi. Hii mliielewaje?
Watanzania mnapenda sana mambo ya kifara faraKauli ya kijeshi kabisa hiyo 🤒😎
Kumbe kutoa maoni siku hizi ni mambo ya kifara na hamsemi aisee 😄😄😄🤒Watanzania mnapenda sana mambo ya kifara fara
Sasa huyo dogo mnamjadili kwa lipi hasaKumbe kutoa maoni siku hizi ni mambo ya kifara na hamsemi aisee 😄😄😄🤒
Tukugawie wastani kwa idadi?Sasa huyo dogo mnamjadili kwa lipi hasa
Mimi nimetoa maoni kuhusu title ya uzi mkuu 😎, kuhusu huyo dogo kafanya nini, mimi binafsi hainihusu kabisa 🤒Sasa huyo dogo mnamjadili kwa lipi hasa
Wewe ni taifa gani?Watanzania mnapenda sana mambo ya kifara fara
Mwamba kaongea kama masihara lakini kwa kumaanisha. Mno 🤣🤣Tukugawie wastani kwa idadi?
Mnayaweza?Tukugawie wastani kwa idadi?
Mimi kwa kweli nimecheza karate kwa kidogo na boxing kwa kidogo, karibu dojo kwa chatu mkali hapa tupige zoezi pamojaMnayaweza?
Hiyo kauli imetoka kwenye mistari ya wimbo wa Dizasta Vina - Tribulation.Muuza madafu wa ikulu alusema amecheza boxing na karate kidogo, akasema ukija bila gadi anagawa wastani kwa idadi. Hii mliielewaje?
View attachment 2975157
Wanasikiliza kina ZuchuHiyo kauli ime
Hiyo kauli imetoka kwenye mistari ya wimbo wa Dizasta Vina - Tribulation.
Huo wimbo ambao amejibu dis ya wimbo wa Rapcha - Nyu clear
kweli brooWanasikiliza kina Zuchu
Watajua wapi hayo
Wambie wasikilize nyimbo za fasihi andishi inayosimuliwa.Wanasikiliza kina Zuchu
Watajua wapi hayo
🤣.. wakugawe kwa wastanKwamba jichanganye...😃