THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,330
- 6,482
Du!
Nilimuoa wa chuo mkuu japo nao walikuwa wawili nikachagua mmoja, huyu wa 4 yeye hatukuwahi kuwa wapenzi ila yeye ndio alinipenda lakini hakuniambia na kutokana na ukaribu wetu na ujiran aliamini nimemuelewa kumbe mm nipo na mishe zanguHalafu ilikuwaje mkuu? Wewe ulioa huyo mpya uliyempata chuoni. Na yeye huyu aliyepoteza muda wake akikusubiri ilikuwaje? Alikuja kuolewa au maumivu na disappointment uliyomwachia ilimtoa kwenye ramani akaishia kuwa singo maza au spinster? Una furaha ya kweli katika ndoa yako hiyo mpya?
Ulimuoa wa chuo kwasababu wa chuo alikuwa mzuri kuliko huyo wa mtaani 🤔 KazanazoNilimuoa wa chuo mkuu japo nao walikuwa wawili nikachagua mmoja, huyu wa 4 yeye hatukuwahi kuwa wapenzi ila yeye ndio alinipenda lakini hakuniambia na kutokana na ukaribu wetu na ujiran aliamini nimemuelewa kumbe mm nipo na mishe zangu
Kiukweli namuonea huruma hadi leo maana hakuamini kuwa ningeoa mapema huenda ningerudi kuonana nae nikiwa single na cku tulipo onana aliniambia yote hayo ila sikuwa na namna tena
Baada ya hapo alipewa mimba na mshikaji bwege kabisa wa mtaani asie na dira yoyote, wanawake wanapitia magumu sana kwenye mahusiano aisee
NAKAZIA 📌📌🤣Ongeza sauti mkuu