Ujumbe fikirishi: Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi

Nibiru X

JF-Expert Member
Jun 30, 2019
411
369
Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni

Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae

Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio ujembe wa kwanza kuusikia masikioni mwako ktk kisa cha maangamizi ya sodoma na gomora wakati lutu anaondoka na mke ktk mji ule waliambiwa wasigeuke nyuma katika safari yao kupona maangamizo

Tukirudi katika maisha ya kwetu hapa duniani leo kugeuka nyuma ni kukumbuka ya nyuma na kuacha kuangalia mbele wengi wameangamia kwa kukumbuka na kuweka ya nyuma mbele zaidi kuliko kuganga ya jayo

Kuanza kwa safari ya upya katika maisha hakuitaji kujiuliza mbona ilikuwa hivi ama kule palikua vile

Kuanza jambo kwa upya haitakiwi kutumia misingi ya jambo lililopita hata maandiko yanasema kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini--jibu ni kuwa hana budi kufanya misingi upya je utawezaje kufanya misingi juu ya msingi ulivunjika haiwezekani!

Wengi wemegeuka na kuwa mawe ya chumvi hapa duniani kwa kugeuka nyuma iweni ni ndoa, uchumba kazi, siasa, maisha ya kawaida wengi tumegeka nyuma tumekua chumvi

Ni vyema kila tunapoanza safari na tumeamua kufanya basi tusiangalie alieko nyuma anasema nini au anataka nini.

Tujenge misingi upya
 
Exactly
 
Hata Yesu aliwahi kusema mkulima yoyote aliye shika jembe tayari kulima kisha akageuka nyuma huyo hafai kuwa mkulima.

Asante kwa mada nzuri, mara nyingi tumekuwa tukigeuka na kuangalia pale palipo tukwamisha jana badala ya ungalia mbele pale mguu unapokanyaga kusonga mbele .

Jana ilikua ni nzuri ila ndio imepita, leo nayo ni nzuri ila nayo inapita muda mfupi ujao, kesho ni nzuri zaidi kwa sababu ndio tunaiendea ,wakati tukiiendea kesho hali tuaingalia jana punde kesho imefika wakati bado upo jana.
 
Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni

Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae

Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio ujembe wa kwanza kuusikia masikioni mwako ktk kisa cha maangamizi ya sodoma na gomora wakati lutu anaondoka na mke ktk mji ule waliambiwa wasigeuke nyuma katika safari yao kupona maangamizo
Mke wa lutu alipogeuka nyuma na kuwa jiwe la chumvi nani aligeuka nyuma kuthibitisha hilo?

Nani aliyeshuhudia tukio hilo na alifahamu vipi?

When Lot's wife turned into pillar of salt Who looked back to Confirm it?

Tukirudi katika maisha ya kwetu hapa duniani leo kugeuka nyuma ni kukumbuka ya nyuma na kuacha kuangalia mbele wengi wameangamia kwa kukumbuka na kuweka ya nyuma mbele zaidi kuliko kuganga ya jayo

Kuanza kwa safari ya upya katika maisha hakuitaji kujiuliza mbona ilikuwa hivi ama kule palikua vile

Kuanza jambo kwa upya haitakiwi kutumia misingi ya jambo lililopita hata maandiko yanasema kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini--jibu ni kuwa hana budi kufanya misingi upya je utawezaje kufanya misingi juu ya msingi ulivunjika haiwezekani!

Wengi wemegeuka na kuwa mawe ya chumvi hapa duniani kwa kugeuka nyuma iweni ni ndoa, uchumba kazi, siasa, maisha ya kawaida wengi tumegeka nyuma tumekua chumvi

Ni vyema kila tunapoanza safari na tumeamua kufanya basi tusiangalie alieko nyuma anasema nini au anataka nini.

Tujenge misingi upya
 
Cautionary tales zinatumika kuwafundisha watoto maadili
Usimcheke kilema utazaa kilema ni kauli ya uongo mtupu ila ina lengo zuri

Sasa mtu mzima kuendelea kuongozwa na cautionary tales ni utoto

Una lengo zuri lakini kwanini tusi jadili kama watu wazima, ngano za watu ku geuka chumvi za nini na sote sie watu wazima? Kwanini tusitumie mifano ya watu halisi waliofanikiwa kwa kuupuza au kutokatishwa tamaa na maisha yao ya awali?
 
Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni

Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae

Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio ujembe wa kwanza kuusikia masikioni mwako ktk kisa cha maangamizi ya sodoma na gomora wakati lutu anaondoka na mke ktk mji ule waliambiwa wasigeuke nyuma katika safari yao kupona maangamizo

Tukirudi katika maisha ya kwetu hapa duniani leo kugeuka nyuma ni kukumbuka ya nyuma na kuacha kuangalia mbele wengi wameangamia kwa kukumbuka na kuweka ya nyuma mbele zaidi kuliko kuganga ya jayo

Kuanza kwa safari ya upya katika maisha hakuitaji kujiuliza mbona ilikuwa hivi ama kule palikua vile

Kuanza jambo kwa upya haitakiwi kutumia misingi ya jambo lililopita hata maandiko yanasema kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini--jibu ni kuwa hana budi kufanya misingi upya je utawezaje kufanya misingi juu ya msingi ulivunjika haiwezekani!

Wengi wemegeuka na kuwa mawe ya chumvi hapa duniani kwa kugeuka nyuma iweni ni ndoa, uchumba kazi, siasa, maisha ya kawaida wengi tumegeka nyuma tumekua chumvi

Ni vyema kila tunapoanza safari na tumeamua kufanya basi tusiangalie alieko nyuma anasema nini au anataka nini.

Tujenge misingi upya
Utageuka jiwe la chumvi mkuu usipige chabo
 
Labda kama haujawahi kufukuzwa na mbwa.
 
Mke wa lutu alipogeuka nyuma na kuwa jiwe la chumvi nani aligeuka nyuma kuthibitisha hilo?

Nani aliyeshuhudia tukio hilo na alifahamu vipi?

When Lot's wife turned into pillar of salt Who looked back to Confirm it?
Aliethibitisha hilo ni Malaika
 
Back
Top Bottom