Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Dah ndugu muhasibu nimecheka sana , kwakwel niko safarini na sik yangu ilikua imeisha vibaya ila hii point namba 4 nimecheka mpaka machozi.

Umenikumbusha 2022 Singida nilikuwa na moment na ka teeneger ka age hiyo 21, kale katoto kalinipenda sana , sasa muda wa kukapiga mashine, kalikua mpaka kanageuza macho kama jini hapo, kakirud kwenye akil zake kanaongea mambo nikawa naona ya kitoto sana sana upuuzi, mara

  • baby naomba nikuzalie mtoto
  • mara baby naomba nikupeleke kwa mama akujue 😂😂

Bas nikawa najionea keroooo 🤣🤣🤣
Kanakuona kama mtoto mwenzie tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.

Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.

Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
Hao watoto na vijana, pesa hawanaaa!!!!
 
Mkuu hapo ntapingana na wewe. Nakumbuka wakati tupo sekondari mabinti wengi wa age yetu walikua wanatoka na majamaa ya mtaani makubwa kinoma kipindi hicho yanakuja kuwachukua na magari sisi tunaonekana vinuka mkojo hatuna kitu.

Sasa saiz tumekua wakubwa, nasisi tuna vihela na vigari, unataka tena tuanze kutoka na mademu wale wale waliotutenga tukiwa wadogo? Hell No!! Sasa ni muda wetu na sisi kula mema ya nchi na vibinti under 22, hao ma ajuza wao zamu yao ilishapita.
 
Mambo ya magari yalikuwa zamani wakati wa picnic na outing za Pink coconut saelander club.

Sasa hivi ni ufalme wa Bodaboda au mtu yeyote mwenye mawe.

Hakuna demu wa kumbabaisha na gari sasa hivi, wanaangalia Nani mwenye mawe na bill ya salon.
Sio kweli,wanawake ukishakuwa na gari basi wanajua hela ya saloon unayo,hata kama kagari umeomba kwa mhuni wako
 
Hao watoto na vijana, pesa hawanaaa!!!!
Jukumu la pocket money ni la mzazi siyo boy friend.

Yani kama wazazi tujitahidi Sana kuwapa mahitaji ya msingi watoto na pocket money hawawezi wakafanya mapenzi ni biashara ya kujipatia kipato au kubwà na orodha ya masponsor.

Hii inatakiwa kujengwa ngazi ya familia.
 
Wee mzazi unazo, ila wazazi wenzio hawana.
Sasa watoto wafanyejee?
 
Wee mzazi unazo, ila wazazi wenzio hawana.
Sasa watoto wafanyejee?
Nimeshuhudia Kwa macho yangu kuna mademu nawajuwa vizuri familia Hali ngumu lakini wanajitunza, NI swala la maadili tu na globalization inaharibu kizazi cha sasa.

Nitakupa mfano mdogo wa kizazi hiki kinavyotamani maisha ya mitandaoni wakati uhalisia haupo hivyo.

Jamani mwenye namba ya Mganga wa Diva anisaidie yule Jamaa ni Mganga kweli.
 
Attachments

  • FB_IMG_1713876117649.jpg
    FB_IMG_1713876117649.jpg
    48.9 KB · Views: 3
Nimeshuhudia Kwa macho yangu kuna mademu nawajuwa vizuri familia Hali ngumu lakini wanajitunza, NI swala la maadili tu na globalization inaharibu kizazi cha sasa.

Nitakupa mfano mdogo wa kizazi hiki kinavyotamani maisha ya mitandaoni wakati uhalisia haupo hivyo.

Jamani mwenye namba ya Mganga wa Diva anisaidie yule Jamaa ni Mganga kweli.
 
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21.

Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia akili za chuo kudeal na mapenzi. Ikawa tofauti kabisa, kumbe akifunga madaftari anabaki na ujinga uleule.

Ujinga ni mwingi, ila nitakumbuka machache

1. Akanikataza kumuita kwa jina lake. Akalazimisha nimuite mpenzi. Hii kwangu ilikuwa adhabu kubwa sana kumwita mpenzi wakati simpendi. Imagine upo ofisini na wakuu wenzako, umekula suti za Kihasibu mnapitisha malipo, halafu wanasikia unaita mtu Mpenzi kwenye simu

2. Ukiwa naye anataka muda wote awe na simu yangu eti kupima uaminifu wangu. Sms ikiingia anataka kwanza asome yeye.

3. Kuna siku nilifungiwa lodge. Mimi hata iweje huwa silali nje ya home. Kuna siku tulikuwa na miadi ya kula mzigo, tukachukua chumba kwa makubaliano ya saa 4 usiku tunaondoka. Ilipofika muda dogo akaficha funguo anataka tulale.

4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.

5.Ukitaka kwenda kumchukua kwao(alikuwa anaishi na dada yake) analazimisha usogee karibu kabisa ili majirani waone kama anafuatwa na gari.

Baada ya kujionea mwenyewe nikakapiga tukio la kuuma kakakimbia chenyewe.

My Take
Try this at your own risk.
Nimegundua na wew hujitambui, et humpend sasa ulitegemea nin wakat humpend, akulambe matako au?🚮🚮🚮🚮🚮
 
Havifai hivyo vitoto
 
Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.

Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.

Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
20240415_001330.jpg
 
Havifai hivyo vitoto
Enzi zetu nilikua natafuna mikurumbembe ,duh siku nikapata kimoja kilijisogeza tu dah,kikawa kwao hakiendi weekend kinataka kupigwa moto tu.
Aisee brother mtu karudi toka UK kapewa abari si nikaletewa pira home.
Kukawa hakulaliki,kila siku ni kuliana timming tu.
Ilibidi nihame.
Siku hizi ni kasingo maza
Nakatafuna bado vizuri tu.
Kanaletaga kipochi kenyewe bila shurti.
 
😂 Vipumbavu sana hivi vitoto. Kuna kamoja nilikutana nako kako mwaka wa pili chuo flani mjini. Kalikua na dada yake. Dada yake alikua mcheshi na akanipatia nba yake.
Jioni nikacheki nikafunguka nimemkubali sana mdogo wake, aksema fresh akanitumia namba.
Siku hiyo nimekapigia nilienda straight to the point. Kakaniambia Sina hadhi ya kua nako. Nikadhanu utani maana alikua anaongea huku anacheka.
Karibu miezi sita ukikatumia msg kanajibu keshokutwa. Calls anaweza akapokea au asipokee. Akipokea wakati tunaongea akipigiwa juu anapokea na wewe anakuhold baadae anakata mazima. Kwa kipindi chote hicho nilikua najitambulisha muuza mitumba ya watoto.
Mungu si Athumani siku moja amekuja ofisini ninakofanya kazi kuomba field na kitengo aombacho ndicho nnacho kisimamia. Kaja na wenzake wakaambiwa msubiri mwenyewe. Sina hili wala lile naingia reception naambiwa wageni wako hawa hapa.
Baada ya kuwasikiliza niliwambia waache barua zao watajulishwa kwa simu.
Sikuwabania, wote watatu walianza field fresh tu ila kuanzia hapo sikuwahi kuongeanae tena kuhusu mapenzi na ilikua zamu yake yeye kunitafuta. Nilimnyoosha kama alivyoninyoosha.
Alisharudi chuo na kwenye whatsap profile pic kaweka picha tuliyopiga kama team ya department husika wakati siku wanamaliza field yao.
Anaomba msamaha kila siku.
 
Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.

Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.

Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
Mkuu Matola,
Vitu vingine watu wanafanya for experimental purposes only. Hata mimi naona kuna haja ya kulifanyia hili jambo experiment. BTW katoto ka 2000 tayari ni mtu mzima huyo.🤪
(Kidding)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom