Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21.

Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia akili za chuo kudeal na mapenzi. Ikawa tofauti kabisa, kumbe akifunga madaftari anabaki na ujinga uleule.

Ujinga ni mwingi, ila nitakumbuka machache

1. Akanikataza kumuita kwa jina lake. Akalazimisha nimuite mpenzi. Hii kwangu ilikuwa adhabu kubwa sana kumwita mpenzi wakati simpendi. Imagine upo ofisini na wakuu wenzako, umekula suti za Kihasibu mnapitisha malipo, halafu wanasikia unaita mtu Mpenzi kwenye simu

2. Ukiwa naye anataka muda wote awe na simu yangu eti kupima uaminifu wangu. Sms ikiingia anataka kwanza asome yeye.

3. Kuna siku nilifungiwa lodge. Mimi hata iweje huwa silali nje ya home. Kuna siku tulikuwa na miadi ya kula mzigo, tukachukua chumba kwa makubaliano ya saa 4 usiku tunaondoka. Ilipofika muda dogo akaficha funguo anataka tulale.

4. Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela.

5.Ukitaka kwenda kumchukua kwao(alikuwa anaishi na dada yake) analazimisha usogee karibu kabisa ili majirani waone kama anafuatwa na gari.

Baada ya kujionea mwenyewe nikakapiga tukio la kuuma kakakimbia chenyewe.

My Take
Try this at your own risk.
Mwasibu mambo mengine kama unafanya kweli basi fanya kama Siri yako.

Mimi nachukia Sana mtu anaetembea na vitoto vidogo wakati vijana wenzao wapo kibao.

Achana na watoto mashangazi wapo wamejaa tele tena wengine ukikwama pesa wanakupa wao, Acha huu ujinga.
 
Kwa Heshima yako hapa jukwaani, heshima ulinayo nayo kwa WanaSimba huu uzi wa leo umecheza kama Yikpe! Hizi stori waachie kina deep pond kaka ukirudia tunakuvua Nyota zote!
Huyu jamaa wakati mwingine huwa anateleza sana kuna siku alileta uzi mpaka akawa anatuma na screenshot za convoy alizokuwa ana chat na demu WhatsApp nikajiuliza huu ni ujanja /Ufala, ujinga au sifa tu za kishamba?
 
Mambo ya magari yalikuwa zamani wakati wa picnic na outing za Pink coconut saelander club.

Sasa hivi ni ufalme wa Bodaboda au mtu yeyote mwenye mawe.

Hakuna demu wa kumbabaisha na gari sasa hivi, wanaangalia Nani mwenye mawe na bill ya salon.
siyo kwamba ukiwa na gari, automatikali una mawe ?

maana nishawahi ulizwa, una gari ?
nikasema hapana
na chat ikaishia hapo
 
me sitaki kucheka
1713407195945.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom