The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,553
- 7,072
Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
Asante sanaNi 45 marks kati ya 100 ktk masomo 5
Ni 45 marks kati ya 100 ktk masomo 5
Kama kweli wameshusha basi ni jambo jema kwa wanaojiendelezeNo. Imeshuka ni marks
35
Kama kweli wameshusha basi ni jambo jema kwa wanaojiendeleze
Pambana chief Mungu ni mwemaTena mkubwa . Natarajia kufanya mtihani wa kidati cha nne mwezi wa 11.
Qt nilipita. Bado napambana nipite na hapa
Asante sana,nimepambana na sasa nasubiri majibu ya kidato cha nne hapa.. Mungu atanitendea.. jitihada zangu nilishaweka.. yeye anisimamie sasa.Pambana chief Mungu ni mwema
Mkuu hebu type mrejesho mkeka umetoka leo vipi muelekeo?Asante sana,nimepambana na sasa nasubiri majibu ya kidato cha nne hapa.. Mungu atanitendea.. jitihada zangu nilishaweka.. yeye anisimamie sasa.
Bila shaka amepigwa tofali la pua!!!Mkuu hebu type mrejesho mkeka umetoka leo vipi muelekeo?
HahahahahahahahahaBila shaka amepigwa tofali la pua!!!
II.20 AlhamdulillahMkuu hebu type mrejesho mkeka umetoka leo vipi muelekeo?
Thubutuuuuuu nimejitahidi jamani na uzee wangu huu nina 2.20Bila shaka amepigwa tofali la pua!!!
Nafikiri mpaka muda utakua upo labda form six ama CHUO.Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
Form six miyeyusho napiga chuo japo ningelipata ufaulunwa kuniwezesha kusonga na 5&6Nafikiri mpaka muda utakua upo labda form six ama CHUO.
Vipi kuhusu Markpass za ufaulu QT, Wastani ilikua ngapi?Form six miyeyusho napiga chuo japo ningelipata ufaulunwa kuniwezesha kusonga na 5&6