UDSM kuleta swala 50 kwenye kampasi yake ya Mlimani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,495
20,527
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Nyerere (zamani Mlimani) kiko kwenye mpango maalum wa kuleta swala 50 kama majaribio ya mpango wake mkubwa wa kuweka wanyama katika mazingira yake,mtaalam wa zoolojia kutoka chuoni hapo Dr Mgunila alisema hatua hiyo ni moja ya hatua za mwanzo katika kubalance ikolojia pamoja na kuifanya kampsi hiyo kuwa ya aina yake duniani.Swala hao wanaungana na tumbili kadhaa waliopo chuoni hapo huku mpango kabambe wa kuagiza simba wasiokula binadamu kutoka Australia nao ukiendelea ili kuja kudhibiti wanyama walao nyasi siku za usoni.
Kila la kheri UD
 
Simba watakula tumbili binadamu tutakula hao swala
 
Ya aina yake duniani
 
Heading mwanzo sikuielewa... Swala kumbe ni mnyama pori..... Nilidhani swala la kuwa na jinsia 50% kiume na kike
 
Hapo simba wasio kula watu ni utata mtupu.. Sasa wale waliokuwa wakilia kuwa twiga wamepandishwa ndege wawatetee raia Wa Australi kuwa wanaibiwa Simba wao na watanzania... Na sisi tuende Australia kifanya nini?

Hapo simba watestiwe Chadema kama hawali watu
 
Ila wapo simba wasio attack binadamu yupo kama paka wakufuga kwasababu wamezoeshwa kuwa na bimadamu tokea walipo kuwa wadogo mbn sababsaba banda la wanyamapori kunajamaa alikuwa anawabeba kabisa watoto wasimba nahawamdhuru kama wabisha mchukue mtoto wa simba au chui yaani bado wachanga kisha mfuge kama wamfuga paka utaona mwenyewe ni psychology stuff
 
Back
Top Bottom