Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,013
156,442
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.

Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.

Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.

Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"

Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".

Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;

"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗

1713560709377.jpg
 
Mwalimu mwenyewe hawaamini wanafunzi wake, ni tafsiri ya kuwa mwalimu yeye binafsi hufundisha au huongoza Kwa kubahatisha na si Kwa kumaanisha, hili huwakumba wazazi, viongozi etc wa kitanzania...twende polepole.
 
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.

Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.

Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.

Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"

Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".

Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;

"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗

View attachment 2968708
Hebu dadavua tena vizuri Fasihi hii.
Inaonekana ina mafunzo mazito Sana ndani yake.
 
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.

Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.

Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.

Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"

Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".

Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;

"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗

View attachment 2968708
Asante kwa kunichekesha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom