INAUZWA TV inch 32 Zipo 3 Zinauzwa

Movies Store

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
288
935
Zipo TV 3 zilikua kwenye Moja ya Ofisi ya Movies Store nahitaji kubadilisha kupata TV 1 kubwa so naziuza zote 3 kwa pamoja.

Mtu aje na 500,000 atazichukua zote 3 kwa pamoja, TV ni Mpyaaaaaaaa Nikisema Mpya nina maanisha.

Ukihitaji kwa Moja Moja Bei ni tofauti kidogo.

1.Hisense 32inch (320,000) Frameless (sio smart)

2.Zunne 32inch (200,000) (sio smart)

3.SolarMax 32inch (200,000) (sio smart)

Bei zote hizo zitapungua 10,000 tu kwa ajili ya USAFIRI kwa atakae hitaji Moja kati ya hizo 3.

Kwa atakae chukua zote 3 BEI ni FIXED haipungui hata senti.

TV zinapatikana MBEZI MWISHO,kuja kuona kujaribu ni bure.

Mawasiliano : 0786 - 025-025
IMG_20230104_133830_823.jpg
IMG_20230104_133826_182.jpg
 
Zipo TV 3 zilikua kwenye Moja ya Ofisi ya Movies Store nahitaji kubadilisha kupata TV 1 kubwa so naziuza zote 3 kwa pamoja.

Mtu aje na 500,000 atazichukua zote 3 kwa pamoja, TV ni Mpyaaaaaaaa Nikisema Mpya nina maanisha.

Ukihitaji kwa Moja Moja Bei ni tofauti kidogo.

1.Hisense 32inch (320,000) Frameless (sio smart)

2.Zunne 32inch (200,000) (sio smart)

3.SolarMax 32inch (200,000) (sio smart)

Bei zote hizo zitapungua 10,000 tu kwa ajili ya USAFIRI kwa atakae hitaji Moja kati ya hizo 3.

Kwa atakae chukua zote 3 BEI ni FIXED haipungui hata senti.

TV zinapatikana MBEZI MWISHO,kuja kuona kujaribu ni bure.

Mawasiliano : 0786 - 025-025View attachment 2468766View attachment 2468767
Uko wapi nipe namba yako
 
Unaweza kunipa utofaut wa ubora wa picha na vtu vingine kwenye izo TV zote tatu, mfano izo za laki 2 ubora na udhaifu wake ukilinganisha na io hisense

Nataka nione kama tabeba zote
 
Zote sawa! Tofauti Bei
 
Back
Top Bottom