Crocodiletooth JF-Expert Member Oct 28, 2012 18,907 21,387 Aug 24, 2022 #1 Naona na hii, "Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa miguu."
Notorious thug JF-Expert Member Dec 29, 2021 2,817 10,598 Aug 24, 2022 #2 Ukimwona MWIGULU kashika kichwa ujue anawaza TOZO.
MR BINGO JF-Expert Member Feb 12, 2016 1,093 2,274 Aug 24, 2022 #3 "Acha kutumia kichwa Kama kifunikio Cha mwili" Hii nahisi ni nahau