Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,303
22,796
Wakuu
Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa

Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam.

Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu

Kama msimu ule walipotolewa na kitimu kidogo cha Libya..

Angalau basi hawa ndugu zetu mwakarobo wao wamezoea kidogo Wataishia hata makundi safari hii au kubabatiza robo, wakati yanga ataenda nusu au final kabisa.

I UNDERSTAND..
Kwamba kanuni za CAF zimebadilika baada ya mashindano ya CAF confederation kufutwa kwamba itakuwa

AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. ⛏️watashiriki simba na yanga wote .
Hii ni kutokana na kuongezwa team mpaka 24..

CAF CHAMPION LEAGUE
hapa napo kumebadilika kidogo
⛏️ Bingwa wa ligi kuu
⛏️nafasi ya pili.

⛏️Pia kama bingwa wa ligi ambaye ni yanga akichukua na FA basi ataenda yanga na yule wa pili .

Na kama yanga akichukua ligi tu halafu FA [crdb] akachukua mwengine .
Basi ataenda yanga na bingwa wa crdb fa cup..!

Ingawa simba watacheza AFL pasipo kuangalia nafasi ya kwenye ligi yao maana hata huko south Africa kaizer chief atashiriki.

Na huko no problem kwamba simba watatolewa mapema sana
Hivyo nafasi yao ni huko CCL..


Tuwaombee hawa mbumbumbu wajameni ..

Nakaribisha criticism
Its Pancho
 
Daah kumbe 2nd leg
Screenshot_20240426-234409.png
 
Goli la pili. Cross ndefu ya kiwango imepigwa ikamaliziwa kwa goli la kiwango. Al hly 2 - 0 TPM
 
Back
Top Bottom