Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 11,132
- 23,123
Wako busy, madem kipindi hicho hamna kitu wanawaza zaidi ya mapenzi.
Siku hizi nao wanasaka noti, marejesho yakimkaba koo wewe anakukumbukia wapi, ukimuita moige shoo anaona afadhali akapoteze mawazo kidogo