Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,697
- 21,282
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana.
Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku akishangiliwa na Umati wa watu wengi sana.
Alifafanua namna Marais wa Jamhuru ia Muungano wa Tanzania wa awamu zilizopita namna walivyounda Tume za Kushughulikia Muungano.
Amezitaja na kuzieleza kuwa tangu hapo awali Watanganyika hawajanyamanza kuhusu kero za Muungano.
Amezitaja na kuzieleza tume hizo kama ifuatavyo
1. Tume iliyoundwa na Rais Ali Hassani Mwinyi, iliitwa Tume ya Jaji Nyalali ya Mwaka 1992
2. Tume ya Jaji Kisanga ya Mwaka 2003 chini ya Rais Mkapa
3. Tume ya Jaji Josefu Sinde Warioba ya 2012
Alieleza kuwa Tume zote hizo zilikuja na hitimisho kuwa Muundo wa Mungano wetu unahitaji marekebisho. Watanzania wanapenda Muungano ila wanakerwa na namna ulivyoundwa na namna ya uendeshaji wake.
Hata hivyo Mh Tundu alitumia Jukwa hilo kuendelea kukemea tetesi za Dalili za Rushwa zilizooneka ndani ya Chama hicho huku akidai ya Kuwa Chadema kimekuwa chama chenye Mfano Bora kupinga Rushwa na hivyo ni Kheri kwa kila Mwanachama kupinga Rushwa Wazi wazi ili wananchi wawaelewe.
Amesema wao kama Chama wameathiriwa na Madhara ya Rushwa kutoka Chama cha mapinduzi ambapo Makatibu Wakuu wa Chama wafuatao walihongwa na kukimbia chama
1. Dr Aman Walidi Kaburou
2. Dr Wilbroad Peter Slaa na
3. Dr Mashinji