Tatizo unasoma ili ujibu na si kuelewa nilichoandika. Wapi ambapo mimi nimebishana na wewe? Hebu soma vizuri tena. Umesema ndege kama hizo ni feeder ya zile kubwa kwa maana zinatoa abiria kwenye miji mingine kuwaleta mji mkuu. Kwa hiyo nikasema na sisi basi hatupo mbali maana tunaanza na soko la ndani kwa maana ndege hizo zitafaa sana soko la ndani. Ungekuwa na akili kama unavyodai usingekimbilia kujibu kabla hujajua unaongea na watu wawili tofauti...basi sasa naamini kweli watz inabidi tuombee sana maana kumbe muda mwingine umasikini wetu upo deep sana ndani ya ufahamu kufikiri na kutenda..... unanishangaza unataka kuleta ligi wakati nakuambia niliipanda tena mwaka jana mwezi wa sita
Unaponunua nguo, je huanza kuivalia dukani na kutoka nayo? si mpaka ufike nayo kwanza nyumbani. Je hiyo ndege ilianza kuruka kibiashara tokea huko kiwandani? Hauna elimu,sawa. Lakini kuna mambo mengine ni kitumia "common sens" na kujiongeza wewe mwenyewe kabla ya kuanza kuropoka.Kwanza kuja kwake (tupu) bila abiria ni hasara ya mafuta na posho za crews,, hata wangebeba wanafunzi au watalii kwa ofa ya $200 ingelijitangaza na kujipa jina za kibiashara!!
Umenena mkuu...........hongera zako........Kuna haja ya baadhi ya mada kuwa na warning signs mfano iwepo sign ya.
THIS THREAD IS STRICTLY FOR FOOLS.
Maanake nimeangalia jukwaa mara mblil kama ni niko Chit chat.
Hivi ndugu yangu huwa unatafakari kabla ya kuandika????. Hebu ngoja basi japo kwa wiki 2-3 hivi ndiyo uandike!!!Nawashangaa watu ambao mnafurahia ujio wa ndege mpya ya serikali (KUMBUKA HII SIO NDEGE YA ATCL) wakitaka sharti waikodishe. Hii ndege haiwezi kwenda hata nje ya nchi hivyo safari zake zitakuwa za ndani tu.
Sasa najiuliza, kama tulishindwa kupanda fastjet ya 50,000/= hii inayotakiwa kukodishwa tutailipia tshs ngapi?
Ilikua na vituo kibao njiani kupoza Engine. Ila Kenya inafika kwa sababu kituo chake cha mwisho kabla ya kuja Dar ilikua Addi Ababa.We jamaa duh! Ivi canada ilitoka lin vile?
Aisee kama ujui unauliza tu..unahisi waliimwagia maji kwanini?au unadhani walikua wanapoza engine?itakuwa inapiga route za wap..??
Wewe hukuona ilipofika tuu pale Airport Dar ilibidi ziletwe Zimamoto mbili ili kuimwagia maji kupoza injini, teh teh teh
Ngoja nikuache maana kumbe naongea na mtu ambaye hata hakumbuki nini anayoyandika pole sana...Tatizo unasoma ili ujibu na si kuelewa nilichoandika. Wapi ambapo mimi nimebishana na wewe? Hebu soma vizuri tena. Umesema ndege kama hizo ni feeder ya zile kubwa kwa maana zinatoa abiria kwenye miji mingine kuwaleta mji mkuu. Kwa hiyo nikasema na sisi basi hatupo mbali maana tunaanza na soko la ndani kwa maana ndege hizo zitafaa sana soko la ndani. Ungekuwa na akili kama unavyodai usingekimbilia kujibu kabla hujajua unaongea na watu wawili tofauti...
Na mimi ngoja nikuache maana kumbe naongea na mpuuzi tuuuNgoja nikuache maana kumbe naongea na mtu ambaye hata hakumbuki nini anayoyandika pole sana...
Sasa na sisi si tumeinunua kwa soko la ndani kwanza. Mnataka tuwe na ndege kubwa wakati soko la ndani tu badooo
Mkuu ... Frank Wanjiru ... najua ulikuwa unatania tu ...Wewe hukuona ilipofika tuu pale Airport Dar ilibidi ziletwe Zimamoto mbili ili kuimwagia maji kupoza injini, teh teh teh
upeo wako mdogo ndio maana matusi yamekukaa mdomoni...... nakushauri bure kabisa acha ushabiki na kudandia mambo ni hatari sana kwa maendeleo yako binafsi na familia yako kwa ujumla....have a good dayNa mimi ngoja nikuache maana kumbe naongea na mpuuzi tuuu
Na hiki ndo nilichoandika sasa sijui kina tofauti gani na nilichoandika sasa. Tatizo umekurupuka tu mngesee wewee
Kutoka ilikotoka direct to dar ni around 7660miles na uwezo wa kuruka bila kutua ni around 1600miles.Kuruka iruke au isiruke mimi sijui hilo ila nina maswali , kwa nini hii ndege ilikuja inatua kwenye vituo mbali mbali? Nilisoma ilitua Greece, Addis na kwingine kabla ya kufika hapa. Je, kwa nini kulilipia gharama za kutua na kuruka kama ingeweza kuruka moja kwa moja ili tusave hivyo vi£ na vi$ vyetu tulivyolipia kwenye hivyo viwanja?
hivi hii ndege imekuja na meli au, emu nipeni ni umbari gani toka Dar hadi NairobiNawashangaa watu ambao mnafurahia ujio wa ndege mpya ya serikali (KUMBUKA HII SIO NDEGE YA ATCL) wakitaka sharti waikodishe. Hii ndege haiwezi kwenda hata nje ya nchi hivyo safari zake zitakuwa za ndani tu.
Sasa najiuliza, kama tulishindwa kupanda fastjet ya 50,000/= hii inayotakiwa kukodishwa tutailipia tshs ngapi?
Kwani imefikaje hapa....?Nawashangaa watu ambao mnafurahia ujio wa ndege mpya ya serikali (KUMBUKA HII SIO NDEGE YA ATCL) wakitaka sharti waikodishe. Hii ndege haiwezi kwenda hata nje ya nchi hivyo safari zake zitakuwa za ndani tu.
Sasa najiuliza, kama tulishindwa kupanda fastjet ya 50,000/= hii inayotakiwa kukodishwa tutailipia tshs ngapi?
Embu weka picha tuone....!!!Wewe hukuona ilipofika tuu pale Airport Dar ilibidi ziletwe Zimamoto mbili ili kuimwagia maji kupoza injini, teh teh teh
Kutoka Canada mpaka Tanzania ni masaa 16 kuwepo angani. Ndio nikauliza hio tenki ya mafuta inaweza kuvuka bahari ya pacific? Kuivuka Bahari ya pacific ni masaa 8 au zaidiHiyo bahari INA ukubwa kiasi gani na unavuka kutoka wapi kwenda wapi?
Precisionair inabeba abiria 70 inaruka Dar mpaka Nairobi moja kwa moja,sembuse bombadier abiria 76 na ambayo ni ya kisasa zaidiUmeambiwa ndege za ndani tu we unataka Kenya,hapo ni sawa na kuingiza bajaji kwenye safari za mbeye dar