Tumikia ufalme wa nuru / Tumikia Ufalme wa Giza

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,406
12,634
Ufalme wa giza na ufalme nuru ni falme mbili ambazo mwanadamu akitaka kuingia na kufanya kazi katika moja ya hizi falme ni lazima awe na uwezo wa kuingia Ulimwengu wa Roho.

Ulimwengu wa roho (Spiritual realm)

Kwa akili ndogo ya kibinadamu tunakutana na mambo mengi sana ambayo yanashangaza masikio yetu na hata macho yetu.
Tunaopenda haki na upendo ndio tunachanganyikiwa kabisa kwanini hii dunia imejaa mambo maovu ?

i. Baba kamtoa mwanae kafala
ii. Mtu kauza kidole.
iii. Vita vya kisiasa
iv. Vita vya kidini.
v. Ukrani na Urus wanakiwasha huko.
vi. Baba alawiti mwanae.
vii. Kuanzia leo Mwanaume luksa kukatwa Malinda.
viii. Uchawi na Ushirikina una story nyingii
ix. Freemason na Manabii wengi wa uhongo wengi, makanisani kumefanyika mambo machafu.
x. Mafanikio kwa kufanya uganga na ushirikina, kutumia mizimu, majini na hata kuteka watu kishirikina na kwenda kuwatumikisha kazi wakiwa na ufahamu nusu.
Kuna jamaa alikua anasema kwenye media fulani kuwa mimi natoa sadaka kama ya kuchinja mbuzi hivi, natoa kafara yangu pale kisha natengeneza Pesa.
Kuna watu wanaenda kutoa misaada kwenye orphanage (e.g watoto yatima) ukifikiri wanatafuta thawabu kwa Mwenyezi Mungu kumbe wanaiba maisha ya hao watoto they still their destiny wanaiba nyota zao zikazidi kuwatajirisha wao. Hii sio story ya leo niishie hapo nikipata Muda nitakuja kuelezea Spirit Cooking ujue watu wanatengenezaje Pesa nyingi na umaharufu, compuni kubwa kama Apple 🍏

Ukiangalia Imani hizi mbili kubwa Ukristo na Uislamu zote mbili zina mambo mabaya na machafu mengi sana.

Sitaki niyaseme ya Papa wala Shehe kuwa kafanya nini natumaini wengi mnajua.

Kuna hizi tetesi
● Kutakua na fedha moja Dunia nzima, huwezi kuuza wala kununu bila chapa.
● Imani Moja dunia nzima.

Dunia inatawaliwa na mfumo mmoja na sio kitu kigeni ukisoma historia kuwa kulikua na Falme kubwa zilizotawala Dunia kipindi cha Nyuma.

"Ninachokuomba usiniulize kwa nini Mungu karuhusu hayo yote kutokea.
Habari ya Mungu ni nani na Kwanini karuhu haya nitakwambia Siku nyingine"

Ninachotaka tuzungumzie ni kwamba hizi Falme mbili ili uweze kufanikiwa kuwa Mfanyakazi wa moja ya hizi falme ni lazima uwe na CV. nikimanisha vigezo
ni uwe na akili hayupo aliye radhi na wapumbavu.
(elimu ya ulimwengu wa roho, Jinsi ya kuingia Maagano(covenant) ya kiroho madhabahu(Altars) za kiroho.)

Zote hizi falme mbili zinaendesha kazi zake kutokea Ulimwengu wa Roho (Spiritual realm)
Usipokua mfanyakazi wa moja kati ya hizi falme basi ujue wewe utakua Mtumwa/Mateka na hata kufanywa Chakula.

Sitaweza kuelezea hivi falme zinafanyaje kazi kwa upana wote Lakini ninachotaka kukueleza ni namna ya kupokea taarifa (information) na Nguvu (Power) katika ulimwengu huo wa kiroho na kuzitumia hapa Dunia.

Kuna kijana mmoja aliandika uzi hapa jamii forum akadai alipewa Notes na mwalimu wake wa Computer. Hakuna Technologia ngumu hapa dunia kama Computer. imefanya vitu vikubwa sana. i know you know.
kijana alikua muislamu na alisoma Notes za mwalimu wake alishangaa kukuta elimu mpya ambayo inakwenda kinyume na Dini yake.
Vitu vingi vikubwa na mafanikio ya uliwengu wa mwili yanatoka katika Falme za kiroho.

Kusikia na Kuona katika ulimwengu wa kiroho.
Ndio jambo la Msingi.
Sasa unatakiwa nenda kwenye vitabu vya imani yako, kasome sana na waulize sana viongozi wako nafikiri ukifanya tafiti hiyo itakusaidia sana.

Lakini unachotakiwa kujua Kwa kupitia maandiko na Vitabu vyote vya kidini ukijifunza sana na ukaweza kuingia kwenye Ulimwengu wa Kiroho basi uwe na hakika utajikuta ukingiia moja kati ya hizi falme yani ufalme wa nuru au Ufalme wa giza na utakua mtumishi katika moja ya hizo Falme.

Jinsi ya kupokea taarifa kutoka katila ulimwengu wa kiroho.
How to receive information from Spiritual realm how to travel in a spirit.
How to offer a sacrifice.

Twendeni taratibu tujuane kwanza ambao tunakwenda sambamba.

Be smart and Go a right way.

Our desire is Happiness

By dr. Surya
 
Negative force na positive forces.

Kama ambavyo wanasayansi wa sasa wanadhani kuwa huenda kukawa na Multi verses, (uwepo wa malimwengu mengi)

Nadhani ni rahisi kusema kuwa kuna Universes nyingi coz siamini kama ulimwengu wa wachawi ni sawa na wa Mungu mbinguni, au sawa na wa shetani au mabudha, n.k.

Ila naamini kuwa mwanadamu anaweza kuishi kwenye universes zote hizo all at once, kwa wakati mmoja, mf. Dopplegangers, etc.

Hiii inaamuliwa na matendo na namna tunazofikiri, au sometimes ile inner conscience ya ndani kabisaa inayotuambia kuea tufanye hiki au tusifanye kile, kujiamini au uwoga, sometimes hata ndoto..na kadhalika.

Siezi kukazania na dhana hizi ila naendelea kujifunza zaidi, maana elimu yake ipo kwenye small pieces kama zile za lego, so, ni suala la kukusanya taarifa na kuziungaunga mpaka unapata kitu kamili
 
Let me ask you a question.

Unaamini jina la Yesu ndilo jina kuu lipitalo Kila jina ? Na ndiye wakuabudiwa (ibada)
 
Mi mtaalamu wa ulimwengu wa giza aliwahi niuliza kama Yesu alikuja kumuokoa mtu duniani, kwanini sasa alienda kuzimu ili hali binadamu wapo duniani? Kibiblia nilipata jibu ambalo ni very steriotype ila alinifikirisha kitu kingine kipya kabisa!
 
Alienda na chooni kukata gogo.
 
Let me ask you a question.

Unaamini jina la Yesu ndilo jina kuu lipitalo Kila jina ? Na ndiye wakuabudiwa (ibada)
Hapa sina imani hiyo it depends na jinsi unavyoamini wewe. Imani ni kitu kingine kabisa na jina la yesu ni njia tu ambayo mtu anaweza kutumia njia nyingine na akafanikiwa kutimiza imani yake. Sio lazima jina la yesu.
 
jamani hebu tujifunzee
Anavyo fikiri masikini si sawa na anavyo fikiri Tajiri.
Ujue mimi huwa nawaza matajiri huwa wanawaza nini kuhusu maeneo wanayotawala.
L - ke na ke kufanya mapenz
G - Mwanaume kutaka kuolewa.
B - Me na Me kuwakana tamaa
T - Kubadili jinsia.

Hivi umewahi kujiuliza anayetoa pesa za kusupport huo upumbavu hapo juu roho (spirit) ipi inayomtajirisha ?
 
kwa hali ya kawaida hapa ila lazim kutakuwa na unseen forces at work.
 
Ufalme wa giza na ufalme nuru ni falme mbili ambazo mwanadamu akitaka kuingia na kufanya kazi katika moja ya hizi falme ni lazima awe na uwezo wa kuingia Ulimwengu wa Roho.

Ulimwengu wa roho (Spiritual realm)

Kwa akili ndogo ya kibinadamu tunakutana na mambo mengi sana ambayo yanashangaza masikio yetu na hata macho yetu.
Tunaopenda haki na upendo ndio tunachanganyikiwa kabisa kwanini hii dunia imejaa mambo maovu ?

i. Baba kamtoa mwanae kafala
ii. Mtu kauza kidole.
iii. Vita vya kisiasa
iv. Vita vya kidini.
v. Ukrani na Urus wanakiwasha huko.
vi. Baba alawiti mwanae.
vii. Kuanzia leo Mwanaume luksa kukatwa Malinda.
viii. Uchawi na Ushirikina una story nyingii
ix. Freemason na Manabii wengi wa uhongo wengi, makanisani kumefanyika mambo machafu.
x. Mafanikio kwa kufanya uganga na ushirikina, kutumia mizimu, majini na hata kuteka watu kishirikina na kwenda kuwatumikisha kazi wakiwa na ufahamu nusu.
Kuna jamaa alikua anasema kwenye media fulani kuwa mimi natoa sadaka kama ya kuchinja mbuzi hivi, natoa kafara yangu pale kisha natengeneza Pesa.
Kuna watu wanaenda kutoa misaada kwenye orphanage (e.g watoto yatima) ukifikiri wanatafuta thawabu kwa Mwenyezi Mungu kumbe wanaiba maisha ya hao watoto they still their destiny wanaiba nyota zao zikazidi kuwatajirisha wao. Hii sio story ya leo niishie hapo nikipata Muda nitakuja kuelezea Spirit Cooking ujue watu wanatengenezaje Pesa nyingi na umaharufu, compuni kubwa kama Apple 🍏

Ukiangalia Imani hizi mbili kubwa Ukristo na Uislamu zote mbili zina mambo mabaya na machafu mengi sana.

Sitaki niyaseme ya Papa wala Shehe kuwa kafanya nini natumaini wengi mnajua.

Kuna hizi tetesi
● Kutakua na fedha moja Dunia nzima, huwezi kuuza wala kununu bila chapa.
● Imani Moja dunia nzima.

Dunia inatawaliwa na mfumo mmoja na sio kitu kigeni ukisoma historia kuwa kulikua na Falme kubwa zilizotawala Dunia kipindi cha Nyuma.

"Ninachokuomba usiniulize kwa nini Mungu karuhusu hayo yote kutokea.
Habari ya Mungu ni nani na Kwanini karuhu haya nitakwambia Siku nyingine"

Ninachotaka tuzungumzie ni kwamba hizi Falme mbili ili uweze kufanikiwa kuwa Mfanyakazi wa moja ya hizi falme ni lazima uwe na CV. nikimanisha vigezo
ni uwe na akili hayupo aliye radhi na wapumbavu.
(elimu ya ulimwengu wa roho, Jinsi ya kuingia Maagano(covenant) ya kiroho madhabahu(Altars) za kiroho.)

Zote hizi falme mbili zinaendesha kazi zake kutokea Ulimwengu wa Roho (Spiritual realm)
Usipokua mfanyakazi wa moja kati ya hizi falme basi ujue wewe utakua Mtumwa/Mateka na hata kufanywa Chakula.

Sitaweza kuelezea hivi falme zinafanyaje kazi kwa upana wote Lakini ninachotaka kukueleza ni namna ya kupokea taarifa (information) na Nguvu (Power) katika ulimwengu huo wa kiroho na kuzitumia hapa Dunia.

Kuna kijana mmoja aliandika uzi hapa jamii forum akadai alipewa Notes na mwalimu wake wa Computer. Hakuna Technologia ngumu hapa dunia kama Computer. imefanya vitu vikubwa sana. i know you know.
kijana alikua muislamu na alisoma Notes za mwalimu wake alishangaa kukuta elimu mpya ambayo inakwenda kinyume na Dini yake.
Vitu vingi vikubwa na mafanikio ya uliwengu wa mwili yanatoka katika Falme za kiroho.

Kusikia na Kuona katika ulimwengu wa kiroho.
Ndio jambo la Msingi.
Sasa unatakiwa nenda kwenye vitabu vya imani yako, kasome sana na waulize sana viongozi wako nafikiri ukifanya tafiti hiyo itakusaidia sana.

Lakini unachotakiwa kujua Kwa kupitia maandiko na Vitabu vyote vya kidini ukijifunza sana na ukaweza kuingia kwenye Ulimwengu wa Kiroho basi uwe na hakika utajikuta ukingiia moja kati ya hizi falme yani ufalme wa nuru au Ufalme wa giza na utakua mtumishi katika moja ya hizo Falme.

Jinsi ya kupokea taarifa kutoka katila ulimwengu wa kiroho.
How to receive information from Spiritual realm how to travel in a spirit.
How to offer a sacrifice.

Twendeni taratibu tujuane kwanza ambao tunakwenda sambamba.

Be smart and Go a right way.

Our desire is Happiness

By dr. Surya
SOmo mbona limeishia hapa, mwendelezo hakuna..???
 
Lete elimu huru mkuu.Maisha ni uhalisia lete tujifunze wote
 
Back
Top Bottom