Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,437
- 8,243
Weka mfano wa kesi moja tu ambayo Kampuni ya kukopesha imeshtakiwa na kushindwa Mahakamani kwa sababu ya kutaja jina la mkopaji kwa watu wengineNdiyo hivyo; wanashughulikiwa sasa na vyombo vya sheria. Defamation ni kosa tofauti kabisa na breach of contract; huwezi kulipa breach of contract kwa kufanya defamation. Hizi tabia za kishenzi za kutangaza kuwa nilimkopesha mtu fulani ndugu yako hajalipa deni langu nazisikia Tanzania tu, ambako ineonakana watu kama wewe msiojua ustaarabu mnadhani defamation kumkomesha mtu alipe deni na kusahau kuwa hiyo ni kuvunja sheria nyingine tofauti kabisa.
Sijui masharti ya kukopeshana ila nitakapokuja nyumbani nitajaribu nikope halafu mtu anitangaze aone cha mtema kuni. Yaani nitahakikisha ninakuja na hela za kutosha kumbutruza mahakamai mpaka nifilisi kampuni yote.
Soma Katiba ya nchi kifungu cha 16 (1), na ndicho nitakchutumia kuifilisi kampuni hiyo
View attachment 2958653