Tujikumbushe shangwe zilizotawala kufurahia jaribio la kuiteka na kuua waisrael wote (river to sea) October 7, Leo hii vilio vimewageukia wao

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
275
802
OCTOBER 7.....

Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea



Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel


te
Shangwe mitaa ya London, Uingereza



Fataki zilipigwa huko Iran



Iraq



Kahawa ya bure mitaani na pipi kusherekea kuanza kwa zoezi la kuiteka Israel



ISRAEL IKAJIBU

Israel ilianza kwa mashambulizi ya anga kulipua majengo yanayotumika kurushia makombora zikiwemo shule za watoto, misikiti, maghorofa wanayoishi raia, n.k. Hamas hutumia mbinu hii ili raia wawe ngao yao, mara kadhaa Israel huwa inatuma meseji, kupiga simu, kusambaza vipeperushi, n.k. inapolipua majengo makubwa nao hamas hutumia mwanya huo, hadi sasa ni wapalestina 12,000 tu wamefariki, ni wachache mno !! bila hizi tahadhari wangefika hata milioni




vita iliendelea Hamas walielemewa, Mataifa yakaingilia kati kuwe na maridhiano ya kusitisha vita, vita ilitulia kwa siku chache tu lakini Hamas wakarusha tena makimbora na hilo likawa kosa linalowagharimu mpaka sasa


Israel ikawaambia wapalestina wote waondoke Gaza ya Kaskazini wapigane uso kwa uso na magaidi wa Hamas japo ilichukua muda kukamilisha zoezi sababu Hamas hupenda kutumia raia kama ngao, halikuwa zoezi rahisi, Hamas walijaribu kukwamisha mara kadha kwa kulipua misafara




Muda huu jeshi la Israel liliingia Gaza sio kushambulia kwa anga, Mahandaki yalikuwa target ya kwanza kwa kuwa Hamas huyatumia kujificha, Israel wakaanza operesheni ya kutumia mabomu kuzibua mitaro / njia za mahandaki





zoezi la kusaka mahandaki liliendelea sambamba na kulipua majengo ya kukimbilia kujificha



Mataifa ya nje yaliingilia kati na kuomba maridhiano ya kusitisha vita, vilidumu basi !! Hamas akaanza kushambulia upya ndipo Israel akaapa muda huu atatoa Disiplin hakuna mfano


Muda huu Israel alienda kazini, magaidi wa Hamas wakaanza kujisalimisha

a

Navyosema Israek aliingia kazini tuelewane, hii ni Gaza kwa sasa, inakadiriwa itachukua miaka zaidi ya 10 kuondoa vifusi.



Kwa sasa vilio vya wale waliofurahia October 7 vimetawala, maandamano kila kukicha kuwabembeleza Israel kwamba "Imetosha", wengine kuilalamikia Israel, n.k.

1714504870500.png
 
OCTOBER 7.....

Wapalestina wakifurahia kwa kuwapiga waisrael waliotekwa


View attachment 2977589

Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel


View attachment 2977582te
Shange mitaa ya London, Uingereza

View attachment 2977575

Fatki zilipigwa huko Iran

View attachment 2977577

Iraq

View attachment 2977578

Kahawa ya bure mitaani na pipi kusherekea kuanza kwa zoezi la kuiteka Israel

View attachment 2977581
Hiyo ilikuwa ni faulo kubwa sana ambayo Hamas wakifanya, huwezi kukamata raia na kuwaua kisa unataka nchi yako, ilitakiwa wakakamatwa wanajeshi wa Israel, hilo kosa bora wangefanya kwa USA, Britain, France, Spain hizo nchi zina huruma sana ,lakini kushambulia nchi kama Israel, Rusia, Iran, Turkey, China, India ni hatari sana.
 
Hiyo ilikuwa ni faulo kubwa sana ambayo Hamas wakifanya, huwezi kukamata raia na kuwaua kisa unataka nchi yako, ilitakiwa wakakamatwa wanajeshi wa Israel, hilo kosa bora wangefanya kwa USA, Britain, France, Spain hizo nchi zina huruma sana ,lakini kushambulia nchi kama Israel, Rusia, Iran, Turkey, China, India ni hatari sana.
Ewaaa umenena
Israel ni jino kwa jino
Ukiua mmoja wenyewe watalipiza 500
Kwa hiyo waarabu wajipange kwa vilio zaidi ya hiyo 34k ya sasa

Hao huwa hawakubali kushindwa
Kushindwa kwao mpaka uwamalize wote ndio utakuwa umeshinda
 
Haisangazi Mkiristo kumshabikia Israel kwa sababu Quran imesema hao wao kwa wao ni marafiki.waislam tuwe na taadhari nao
 
Wafia dini wa Bonyokwa...

Sioni fahari kwa hii vita.

Nyerere alikufa na "Non Alignment Movement" yake. Dunia nzima inawayawaya hakuna anayejua watu wafanye nini!!??
 
Back
Top Bottom