Try to challenge me..📺

MAWEED

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
3,376
11,361
Tupe list yako ya movie/series ulizodownload recently
IMG_20240428_114552.jpg
 
Tuku challenge kwa hizo 480p?

Unatumia miwani ya lens gani kuangalia video za Quality ya namna hiyo?

Au ndio mambo ya sniper, unaangalia ukiwa umefumba jicho Moja?

Episode ya dakika 45 ina MB 67 unaonaje Mzee?

Hii ni nyimbo ya dakika 4 tu
Screenshot_20240428-115235.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom