brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,265
- 2,276
Haya sasa wale wakali wa kiswahili waje wanipe tofauti kati ya neno "ndio" na "ndiyo"
Ibn ingia kwenye kamusi vizuri. Ndiyo ina maana mbili ya kukubali na kuonyesha nomino. Wingi wa ndiyo tunapata ndio. Huwezi sema hii ndio miti yangu. Utasema hii ndiyo miti yangu. Huu ndio mti wangu. Hii ndiyo nyumba yangu/hizi ndizo nyumba zangu.Kwa kadiri ya uelewa wangu katika lugha ya kiswahili(soit ma deuxième langue) tofauti baina ya maneno hayo mawili ni:
~NDIO ni kivumishi kioneshi (V).kivumishi ni neno linaloelezea zaidi nomino au kiwakilishi.Neno hili, NDIO, linaweka mkazo katika KUONESHA nomino/kiwakilishi.
Mfano;Hii NDIO nyumba iliyojengwa.
~NDIYO ni neno lenye maana ya KUKUBALI jambo au kitu.
Ni kinyume cha HAPANA.
Mifano;
-Je,una watoto?NDIYO
-Je,hii ndio nyumba iliyojengwa nawe?NDIYO
I think this explanation makes more sense than the rest.Kwa kadiri ya uelewa wangu katika lugha ya kiswahili(soit ma deuxième langue) tofauti baina ya maneno hayo mawili ni:
~NDIO ni kivumishi kioneshi (V).kivumishi ni neno linaloelezea zaidi nomino au kiwakilishi.Neno hili, NDIO, linaweka mkazo katika KUONESHA nomino/kiwakilishi.
Mfano;Hii NDIO nyumba iliyojengwa.
~NDIYO ni neno lenye maana ya KUKUBALI jambo au kitu.
Ni kinyume cha HAPANA.
Mifano;
-Je,una watoto?NDIYO
-Je,hii ndio nyumba iliyojengwa nawe?NDIYO
safiKwa kadiri ya uelewa wangu katika lugha ya kiswahili(soit ma deuxième langue) tofauti baina ya maneno hayo mawili ni:
~NDIO ni kivumishi kioneshi (V).kivumishi ni neno linaloelezea zaidi nomino au kiwakilishi.Neno hili, NDIO, linaweka mkazo katika KUONESHA nomino/kiwakilishi.
Mfano;Hii NDIO nyumba iliyojengwa.
~NDIYO ni neno lenye maana ya KUKUBALI jambo au kitu.
Ni kinyume cha HAPANA.
Mifano;
-Je,una watoto?NDIYO
-Je,hii ndio nyumba iliyojengwa nawe?NDIYO
Maana ni moja, utamshi ndio tofautiHaya sasa wale wakali wa kiswahili waje wanipe tofauti kati ya neno "ndio" na "ndiyo"