TISS kitengo cha Intellijensia ya uchumi mnakwama wapi?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,951
4,392
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi bungeni mbunge wa Geita vijijini alitoa tahadhari kuhusu Wachina kupewa migodi wakati wana mitaji ambayo Watanzania wanaweza kuwa nayo. Nilisikitishwa sana na jibu la Mh Spika akidai kwamba mambo mengine ni kulinda diplomasia. Yaani mtu aje nchini kwako kuchukua fursa za wazawa wewe usite kuchukua hatua eti kisa diplomasia. Hii sio sahihi.

Pili kwanini tusirudishe sera ya Magufuli. Hakuna kuruhusu kampuni yeyote kuajiri zaidi ya raia wa 5 wakigeni. Hii itasaidia kujenga uwezo kwa raia wa Kitanzania. Magufuli aliweka kikomo kwenye vibali kwa raia wa Kigeni ili kuwezesha kujengewa uwezo. Hakuna kazi yeyote hapa nchini inashindwa kufanywa na wazawa . Imenichukua muda kuelewa kwanini Magufuli alichukua hii hatua. Hawa watu wanaipiga sana serikali kwa kupunguza makadirio ya mapato kwa sababu kuwaruhusu kwa wingi kwenye makampuni kunawawezesha kutengeneza mtandao wao vizuri. Ushahidi upo.

“Tusipoimarisha uwezo wa watu wetu kushiriki katika uchumi, tutajikuta tunagawana umaskini baadala ya kugawana utajiri. Ni kwa sababu watu wetu hawana ujuzi na elimu ndo maana tunapata wawekezaji uchwara ambao wanakuja kuchukua fursa za Watanzania……” Rostam Aziz
 
Huo ujasiri wa kutuuliza tumekwama wapi umetoa wapi? Huo uthubutu tu wa kuuliza umejiamini vipi? Ngoja tukutafute utuulize vizuri uso kwa uso.
 
Kwenye Suala Nyeti kama hili ambalo linabeba mustakabali wa maisha na maslahi yetu huwezi kuona watu wakichangia kwa mapana yake na kwa kuguswa.
Ila masuala kama ya Mwakinyo na konde kutaka kupigana gym thread hii ingekuwa inakimbia vibaya mnoo.
Hakyanani ,alieturoga Watanzania na alaaniwe huko aliko mana wakati wenzetu wanakimbia kwenda mbele,sisi tunakimbia kurudi nyuma.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi bungeni mbunge wa Geita vijijini alitoa tahadhari kuhusu Wachina kupewa migodi wakati wana mitaji ambayo Watanzania wanaweza kuwa nayo. Nilisikitishwa sana na jibu la Mh Spika akidai kwamba mambo mengine ni kulinda diplomasia. Yaani mtu aje nchini kwako kuchukua fursa za wazawa wewe usite kuchukua hatua eti kisa diplomasia. Hii sio sahihi.

Pili kwanini tusirudishe sera ya Magufuli. Hakuna kuruhusu kampuni yeyote kuajiri zaidi ya raia wa 5 wakigeni. Hii itasaidia kujenga uwezo kwa raia wa Kitanzania. Magufuli aliweka kikomo kwenye vibali kwa raia wa Kigeni ili kuwezesha kujengewa uwezo. Hakuna kazi yeyote hapa nchini inashindwa kufanywa na wazawa . Imenichukua muda kuelewa kwanini Magufuli alichukua hii hatua. Hawa watu wanaipiga sana serikali kwa kupunguza makadirio ya mapato kwa sababu kuwaruhusu kwa wingi kwenye makampuni kunawawezesha kutengeneza mtandao wao vizuri. Ushahidi upo.

“Tusipoimarisha uwezo wa watu wetu kushiriki katika uchumi, tutajikuta tunagawana umaskini baadala ya kugawana utajiri. Ni kwa sababu watu wetu hawana ujuzi na elimu ndo maana tunapata wawekezaji uchwara ambao wanakuja kuchukua fursa za Watanzania……” Rostam Aziz
Na Wachina nao wakatalie vyao si ndio? Tanzania sio Kijiji, hiyo nadharia unayowaza kwa dunia ya leo haiwekaniki ni kujichimbia kaburi na kujifukia, Dunia ya sasa ili uweze kulinda maslahi yako unatakiwa kuwekeza kwa watu wako wawe na maarifa, ujuzi na stadi zitakazowafanya wawe na soko mahali popote pale duniani, wawe wenye ujuzi wa kutatua changamoto za kila mahali hapa duniani, ukifikiri kumzuia mchina ndo kumuokoa mtanzania ni kujidanganya, tunaihitaji mataifa mengine zaidi kuliko yanavyotuhitaji, ili tufanikiwe inabidi na sisi tuhitajike zaidi. Tujifunze kwa mataifa kama Marekani, Taifa limeundwa na binadamu kutoka pande zote za duniani na halina hizi sera za kuzuia wageni, kwao ni mgeni analeta nini. Ukiwa huna faida kwao huingii,
 
Wapo Watanzania wengi tu wamefungua biashara nchi za nje, na hizo nchi hazijaja na hizi hoja za kulinda wazawa ikiwemo hiyo China, Je wachina nao wafukuze watanzania waliopo huko china wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wachina?
 
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi bungeni mbunge wa Geita vijijini alitoa tahadhari kuhusu Wachina kupewa migodi wakati wana mitaji ambayo Watanzania wanaweza kuwa nayo. Nilisikitishwa sana na jibu la Mh Spika akidai kwamba mambo mengine ni kulinda diplomasia. Yaani mtu aje nchini kwako kuchukua fursa za wazawa wewe usite kuchukua hatua eti kisa diplomasia. Hii sio sahihi.

Pili kwanini tusirudishe sera ya Magufuli. Hakuna kuruhusu kampuni yeyote kuajiri zaidi ya raia wa 5 wakigeni. Hii itasaidia kujenga uwezo kwa raia wa Kitanzania. Magufuli aliweka kikomo kwenye vibali kwa raia wa Kigeni ili kuwezesha kujengewa uwezo. Hakuna kazi yeyote hapa nchini inashindwa kufanywa na wazawa . Imenichukua muda kuelewa kwanini Magufuli alichukua hii hatua. Hawa watu wanaipiga sana serikali kwa kupunguza makadirio ya mapato kwa sababu kuwaruhusu kwa wingi kwenye makampuni kunawawezesha kutengeneza mtandao wao vizuri. Ushahidi upo.

“Tusipoimarisha uwezo wa watu wetu kushiriki katika uchumi, tutajikuta tunagawana umaskini baadala ya kugawana utajiri. Ni kwa sababu watu wetu hawana ujuzi na elimu ndo maana tunapata wawekezaji uchwara ambao wanakuja kuchukua fursa za Watanzania……” Rostam Aziz
Wapo hao watu?
Nina mashaka sana kama hao watu wapo hii nchi.Labda una mawazo mazuri waanzishe hicho kitengo watafute watu wanaofikiri kweli sio wanaokariri ujinga wa wazungu
 
Back
Top Bottom