TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Kituo Cha Uwekezaji Tanzania -TIC kimeonesha msimamo wa awamu iliyoongoza kuvutia Wawakezaji,mitaji na Biashara Hadi awamu ya mwisho.

Viongozi waliofanya vizuri ni
1.Jakaya Kikwete-Awamu ya 4(Miaka 10)

2.Samia S.Hassan-Awami ya 6(Miaka 3)

3.John P.Magufuli-Awamu ya 5(Miaka 5)

4.Benjamin W.Mkapa-Awamu ya 3(Miaka 10).


View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1782411632104165637?t=RvcxyNl_DYM5w1wIJGI3TQ&s=19

My Take
Takwimu Huwa zinaongea kuzidi Propaganda.

Kwa Mwendo huu,Samia akifikisha miaka 10 atawafunika woote tena mbali sana.


View: https://www.instagram.com/p/C6G5uQpIdYY/?igsh=MXFib2dpNnB4NTVzcw==

Halafu dolla zinaenda wapi au wanaekeza kwa tsh ..
 

Magufuli acharuka wanaokwamisha uwekezaji

"Rais John Magufuli amesema baadhi ya watendaji serikalini wamekuwa vichwa ngumu kama samaki aina ya kamongo na kuwataka kuachana na vikwazo vinavyokwamisha shughuli za uwekezaji nchini
Source: MWANANCHI

"

Rais Magufuli alisema

" Kuna matatizo ya uwekezaji katika nchi yetu, saa nyingine inakuwa inakatisha tamaa kuja kuwekeza, mtu anapotaka kuja kuwekeza saa nyingine anapata shida, masharti ni ya ajabu ajabu, baadhi ya watendaji wetu wamekuwa ni matatizo katika uwekezaji"

Sasa mniambie, kwa maneno hayo yake, inakuwa vipi Hayat Rais Asiwe ndio aliyeleta mageuzi katika suala la Uwekezaji?

Usitafute uchawi, jibu ni rahisi "Kazi inaendelea"
Awamu ya sita ni mpaka pale Uchaguzi utakapofanyika.

Halichomoki
 
Halafu dolla zinaenda wapi au wanaekeza kwa tsh ..
Je, Waziri ameweza kujibu swali lako au hata kuligisia tu. Kwenye uchumi ambao FDIs zinaingizwa kwa wingi nchini, sarafu husika inakuwa stable, haishuki kwa kasi ya ndege tai. Itabidi kutolewa maelezo ya uhakika vinginevyo takwimu zinazosambaa ni tofauti na uhalisia.
 
Back
Top Bottom