TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,413
50,217
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Kituo Cha Uwekezaji Tanzania -TIC kimeonesha msimamo wa awamu iliyoongoza kuvutia Wawakezaji,mitaji na Biashara Hadi awamu ya mwisho.

Viongozi waliofanya vizuri ni
1.Jakaya Kikwete-Awamu ya 4(Miaka 10)

2.Samia S.Hassan-Awami ya 6(Miaka 3)

3.John P.Magufuli-Awamu ya 5(Miaka 5)

4.Benjamin W.Mkapa-Awamu ya 3(Miaka 10).


View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1782411632104165637?t=RvcxyNl_DYM5w1wIJGI3TQ&s=19

My Take
Takwimu Huwa zinaongea kuzidi Propaganda.

Kwa Mwendo huu,Samia akifikisha miaka 10 atawafunika woote tena mbali sana.
20240425_160444.jpg
 
Mambo ya kusifia Ukoloni mamboleo haya. - Bora Awamu ya Matamanio ya wengi ya Utawala wa Hayat J.P. Magufuli , hauhusichwi na kuukumbatio Ukoloni mamboleo.

Sasa mtueleze, kwanini hata baada ya juhudi hizi za kuwawezesha "Wawekezaji" kutoka nje, bado kuna Umasikini mkubwa?

Sera zinatakiwa kuwawezesha Wazawa na Watanzania, na sio kuwezesha mifuko ya Wazungu, Waarabu, Wahindi, na magabachori wengine kwa mgongo wa Wazawa.

Kamwe, Maendeleo ya Mtanzania hayataletwa na "Mwekezaji' kutoka nje.
 
Mambo ya kusifia Ukoloni mamboleo haya. - Bora Awamu ya Matamanio ya wengi ya Utawala wa Hayat J.P. Magufuli , hauhusichwi na kuukumbatio Ukoloni mambole.

Sasa mtueleze, kwanini hata baada ya juhudi hizi za kuwawezesha "Wawekezaji" kutoka nje, bado kuna Umasikini mkubwa?
Sasa Bora ukoloni mambo Leo unaleta uhakika wa Maisha kuliko ukoloni mambo Jana wa Mwendazake unaoleta na kufukuza ufukara.

Mafukara na maskini ndio wanaeza utamani huo Utawala wakidhani wote tutakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom