Sara Dumba DC sijui wilaya gani vile?
haiya, wacha nijaribu ku demistify hii uwongo huwa mna peddle yakuwa Kenya hamna warembo.. sijui kupost picha lakini acha nijaribu
View attachment 62696View attachment 62694View attachment 62695
wengine happa, ilikuwa kwenye anniversary ya skylux club mjini nairobi, picha ni za kwenye mtandao
View attachment 62698View attachment 62699View attachment 62700View attachment 62701View attachment 62702View attachment 62703View attachment 62704View attachment 62710
Haiya, watoto wa watu warembo.
mkuu kichwa cha habari kinasema hivi "The 10 MOST Beautiful East Coast Female Radio Presenters"Kwenye TOP presenters nilitegemea wangejaa Waganda na WATZ.Kenya madem wazuri ni wa kutafuta na hili halina ubishi.Hao wadem waliowekwa hapa ni wa kawaida mno
Jamani kuna turbo moja pale NTV jamani jamani si mchezo hilo ni double diff inahitaji scania 110 kuvuta na si vi landroverKuna dada mmoja huwa yuko Citizen habari saa tatu usiku kweli ni murembo...
Kwanza yuko smart sana ..pili sauti nzuri ,tatu ni mrembo
Jamani kuna turbo moja pale NTV jamani jamani si mchezo hilo ni double diff inahitaji scania 110 kuvuta na si vi landrover
Kaka sinapicha yake ,ila nunua king'amuzi uangalie NTV hasa kwenye taarifa ya habari ya saa tatu usiku, utasuzika na roho yako, pia ninachohusudu ma she wa Kenya kwao neno MKOROGO/KALALAITI ni msamiatiWeka picha yake kama unayo tuthaminishe.
dah...hawa ni most beautiful!!!.:eek2:...kazi kweli kweli
Beauty is in the eye of the beholder, yeey
And you don't know King Kong wife, she no idiot
- Shaggy and Rayvon (Big Up)
Ndio maana wanaume zao wakijaga bongo wanadata! Kwa kweli kenyans are so normal!