TCU hatimaye yatoa sintofahamu

Watu waombe vyuo vya hadhi yao naona taratibu heshima ya degree inarudi
Upuuuuz heshima gan sasa?
Yan watu badilishie mfumo wa elim wa kuingia chuo kikuu bado haitosh wakatukomesha.
ww unafurahia hil kwa Sabab upo chuon na E mbil na unachukua degree
Yan waliochaguliwa na ss wote wagonjwa, kwan ata awajaoneshwa sehem walizopelekwa.
Unaweza kuwa umechaguliwa na chuo kikakukataa vile vile
 
Back
Top Bottom