Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
16,981
11,284
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.

Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.

Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani

500,000×1000= 500,000,000/=

je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??

Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.

Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.

Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?

Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.

Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.

Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mambo ya chadema waachie wenyewe! Ukiona chadema ni nzuri na unahitaji mabadiliko ktk hiko chama basi chukua kadi kuwa mwanachama

Tulia na chama chako jenga chama chako, kosoa chama chako, kijenge chama chako!

Usingoje makonda aje akosoe ndio nawe utokeshimoni...!

Usingoje mwenyekiti wako aseme ndio nawe useme! Wakati huo akiwa kimya unamsifia ata kama amekosea!

Jenga chama chako, jenga taifa lako!

Chama chako kipo madarakani miaka nenda rejea, kina mapungufu kibao! Paza sauti kujenga nchi na chama

Kemea watendaji wazembe!

******
Wewe atakuwa mtendaji wanyumba kumi hakuna utafanya, ata ile kazi ya Anuani za makazi sijui kama ulifanya kwa ufanisi kwa namna unavyoishi katika hii platform!
 
Chama changu cha CCM Tayari kipo imara na madhubuti sana na ndio maana kinaendelea kubeba matumaini ya watanzania na kupigiwa kura za ndio katika kila uchaguzi,pamoja na kuendelea kuaminiwa.

Nimeshasema hapa kuwa tubishane kwa hoja na takwimu.weka hoja niweke hoja. Hao wanachama wenu mamilioni mnaosemaga mnao wapo wapi? Wamejificha wapi?
 
Chadema wanajimaliza wenyewe bila kutumia nguvu nyingi. Tayari wameudhihirishia uma kwamba wana wanachama wasiozidi elfu 10 nchi nzima
Wamejivua nguo hadharani kweupe kabisa. Wanasemaga wana mamilioni ya wanachama lakini hesabu inaonyesha hawana wanachama hata laki tano tu hawafiki. Aibu kubwa sana hii wanayoendelea kuipata CHADEMA. Wanajuta sana kuanzisha mchakato wa kununua gari la Lissu.

CHADEMA ni wapika takwimu ili kuwapofusha akili wafuasi wao kiduchu waliojikatia tamaa.
 
Chawa kama hawa utakuta hata NSSF hana yeye ni Mapambio tuu ukiwa muhanga wa KIKOKOTOO huwezi hata sikumoja kusujudia hawa watu
Hoja niliyoweka mezani ni ya kimahesabu na takwimu ,kwa hiyo kama unataka kujibu hoja basi weka hesabu mezani na siyo kupiga mayowe na Makele yako hapa kama mlevi wa gongo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

TOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwa eti wanahesabu hadi watu wanaoendaga kumshangaa kibaraka, tena huwa wanahesabu wanachama wao kwa kutumia picha za kwenye mikutano na maandamano ya jogging 🐒
 
Mambo ya chadema waachie wenyewe! Ukiona chadema ni nzuri na unahitaji mabadiliko ktk hiko chama basi chukua kadi kuwa mwanachama

Tulia na chama chako jenga chama chako, kosoa chama chako, kijenge chama chako!

Usingoje makonda aje akosoe ndio nawe utokeshimoni...!

Usingoje mwenyekiti wako aseme ndio nawe useme! Wakati huo akiwa kimya unamsifia ata kama amekosea!

Jenga chama chako, jenga taifa lako!

Chama chako kipo madarakani miaka nenda rejea, kina mapungufu kibao! Paza sauti kujenga nchi na chama

Kemea watendaji wazembe!

******
Wewe atakuwa mtendaji wanyumba kumi hakuna utafanya, ata ile kazi ya Anuani za makazi sijui kama ulifanya kwa ufanisi kwa namna unavyoishi katika hii platform!
Piga spana piga spana........huyu fala ma mods ndio wanamlea lea na nyuxi zake za hovyo.
 
huwa eti wanahesabu hadi watu wanaoendaga kumshangaa kibaraka, tena huwa wanahesabu wanachama wao kwa kutumia picha za kwenye mikutano na maandamano ya jogging 🐒
CHADEMA Ni majitu maongo maongo sana. Wazee wa kupika takwimu.sasa awamu hii wanaendelea kuumbuka vibaya sana. Nilishawaambia kuwa CHADEMA imepuuzwa na watanzania na hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono wala kuwashabikia.
 
Ndugu Lucas kwani ni lazima kila mwanachama ama mfuasi wa Chadema achangie?

Uchumi wa nchi hauridhishi kwa ujumla watu wanapambania kwanza japo mlo mmoja tu sasa kusema kipimo cha idadi ya wanachama wa Chadema ni michango ni utafiti ulio wa kiwango cha chini kabisa kuwahi kushuhudiwa.
Ni kweli siyo lazima lakini inawezekana vipi katika hao wafuasi mnaosemaga wapo zaidi ya milioni kumi wakosekane hata wanachadema laki moja tu ambao wakichanga elfu moja moja tu basi inapatikana takribani millioni mia moja? Huoni kuwa inadhihirisha kuwa CHADEMA haina wanachama hata laki tano tu? Huoni CHADEMA kuwa ni wapika takwimu?
 
Piga spana piga spana........huyu fala ma mods ndio wanamlea lea na nyuxi zake za hovyo.
Kubuni hoja acheni kupiga mayowe yenu hapa. Si huwa mnasema mna wanachama wengi? Sasa mbona hawaonekani hao wanachama huko waliko? CHADEMA imepuuzwa na kususiwa na watanzania.
 
Hoja niliyoweka mezani ni ya kimahesabu na takwimu ,kwa hiyo kama unataka kujibu hoja basi weka hesabu mezani na siyo kupiga mayowe na Makele yako hapa kama mlevi wa gongo.
sisiemu inawenyewe wewechawa piga mapambio tu hilo bando fungu la mchicha

Mnaumia sana Lissu akichangiwa na WaTanzania wema kwaa akili yako ndogo unafikiri hiyo michango ni wanachama wa Chadema
Akili za kuvunja chawa jamaa
 
Sema wewe jamaa ungekuwa mwanamke ungeishajiuza sana mwili wako kwa mabosi wa CCM ili wakupenyeze..bahati mbaya ni mwanaume sababu kuna kitu unakitafuta kwa nguvu sana kupitiliza bahati mbaya hawakuoni unaotamani wakuone...
Ni aibu sana kwa mwanaume kuwa hivi
Jibu hoja acha kuruka ruka kama kuku anayetaka kutaga. Weka data hapa na siyo kuweweseka tu kama mlevi.
 
Sema wewe jamaa ungekuwa mwanamke ungeishajiuza sana mwili wako kwa mabosi wa CCM ili wakupenyeze..bahati mbaya ni mwanaume sababu kuna kitu unakitafuta kwa nguvu sana kupitiliza bahati mbaya hawakuoni unaotamani wakuone...
Ni aibu sana kwa mwanaume kuwa hivi
Awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea 🐒
 
sisiemu inawenyewe wewechawa piga mapambio tu hilo bando fungu la mchicha

Mnaumia sana Lissu akichangiwa na WaTanzania wema kwaa akili yako ndogo unafikiri hiyo michango ni wanachama wa Chadema
Akili za kuvunja chawa jamaa
Mmeumbuka ile mbaya na ma uongo yenu ya kupika matakiwmu ya kizushi na kitapeli.
 
Back
Top Bottom