Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,977
- 32,546
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid