Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,231
- 50,054
Pole, nenda hospital kwa uchunguzi na matibabu zaidiHabarini Ndugu zangu.....naomba msaada kwa anaejua hili
Nilijifungua kwa operation sasa baada ya operation nikawa nachomwa sindano za kupunguza maumivu kwenye mapaja sikumbuki idadi ya sindano. Sasa ni miezi mitatu imepita paja nililochomwa sindano limepata ganzi afu kuna muda nasikia kama sindano zinanichoma kama vile nilivokuwa nachomwa ndo nasikia ivo. Hichi kitu kinaninyima raha maana kila siku zinavyozid kwenda tatizo linazidi kuwa kubwa kila mara hiyo hali inajirufia.
Nilishauliwaa niwe najikanda na barafu nimefanya ivo ila bado hamna mabadiliko.
Msaada please kwa anaejua.