TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

Poleni sana mliofikwa na haya majonzi ya ghafla.
Tuwaombee wote marehemu ambao wametanhulia kwa muumba wao, pia na sisi tupo nyuma yao.
Hapa dunia tupo safarini, kila mmoja ataondoka kwa namna anayoijua muumba wake.
 
RIP ni mtoto mdogo sana, Mungu awape moyo wa subila na uvumilivu. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Pole sana PakaJimmy .. Hakika huu ni msiba mzito sana kwa watanzania wote kwa ujumla.... Mungu awatie nguvu wazazi wote walioondokewa na watoto wao wapendwa!
 
Polee sana PakaJimmy kwa msiba huu mzito... Mungu akupe faraja yake
 
Back
Top Bottom