Hayo ni maneno tu wamepachika wabongo kwa ajili ya kuchangamshana.
Mkuu asante kwa ufafanuzi. Ningeshangaa kweli.Hayo ni maneno tu wamepachika wabongo kwa ajili ya kuchangamshana.
Hakuna ukweli wa taarifa hiyo.
Nilishaona hiyo picha, wahusika walituhumiwa kwa makosa ya kimtandao tu (kama kumbukumbu zangu zipo vizuri).
Mkuu asante kwa ufafanuzi. Ningeshangaa kweli.
FAKE hawa walikuwa na Issue nyingine bali JAMAA wame-photoshop
Hayo ni maneno tu wamepachika wabongo kwa ajili ya kuchangamshana.
Hakuna ukweli wa taarifa hiyo.
Nilishaona hiyo picha, wahusika walituhumiwa kwa makosa ya kimtandao tu (kama kumbukumbu zangu zipo vizuri).
Inafikirisha sanaHuu mtaa wako ni ule ule wa kwenye ile ya kumuita mbusiiiii Chalii
Usichezee TISS wewe tunakushora tu Maghayo the Viking
NB: Usitutishe tumechoka bongo tunakuja hukohuko, fanya makeke ya viza basi
View attachment 2980716
Huko CPH wanakubana sana na vibibi. Uwe unaniuliza braza wako kuverifty.Mkuu asante kwa ufafanuzi. Ningeshangaa kweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Wanataka kutuua kwa kicheko smart 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!