Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

Siwuya

Member
Feb 9, 2021
13
13
Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya
-Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc.
-Sticker(Car) Branding,Decoration.
-Tinted Installation.
-T-shirt Printing.
-Social Media Ads.
-Motion Graphics.

Kwenye ICT SOLUTIONS Kazi nazoweza kufanya.
-Website Design.
-Network Installation & Repair (LAN,WAN)
-Computer Hardware/software Repair.
-Ict Services Support & Consultancy

Simu:- +255743000284
Asante naomba kuwasilisha kwa yeyote mwenye connection ya hizo kazi
 
Sasa mbona kama ofisi hii imekamilika kabisa, kazi yanini tena unataka?

Hapo kuna ofisi mbili kabisa za kukuweka mjini. Labda kama ulivyoainisha sio vya kweli.
Muwe mnawaeleza na namna ya kuvitumia kuwaweka.mjini how kama ana skill ila hajui anatumia vipi kujiweka.mjini?
 
Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya
-Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc.
-Sticker(Car) Branding,Decoration.
-Tinted Installation.
-T-shirt Printing.
-Social Media Ads.
-Motion Graphics.

Kwenye ICT SOLUTIONS Kazi nazoweza kufanya.
-Website Design.
-Network Installation & Repair (LAN,WAN)
-Computer Hardware/software Repair.
-Ict Services Support & Consultancy

Simu:- +255743000284
Asante naomba kuwasilisha kwa yeyote mwenye connection ya hizo kazi

Nakushauri Fanya freelancing Job itakulipa. Graphics Uhitaji Kuajiriwa
 
Sasa mbona kama ofisi hii imekamilika kabisa, kazi yanini tena unataka?

Hapo kuna ofisi mbili kabisa za kukuweka mjini. Labda kama ulivyoainisha sio vya kweli
Nltaka kukuambia kuna kazi huko ajira Portal ya graphic designer Kampun Ya magazeti ya taifa ila nkakumbuka wanahitaji level ya certificate

Nakushauri Fanya freelancing Job itakulipa. Graphics Uhitaji Kuajiriwa
Nimekuelewa Mkuu nitafanyia Kazi hilo
 
Dogo popote ulipo tafuta kanisa kubwa la hawa ma-apostles nenda na sample ya design zako utapata kazi chap maana huwa wanatafuta watu wa design/media na wanalipa fresh tu. Kikubwa ujue na video pia..ila hata kama hujui video nenda maana video wengi wanajua ila graphics ndo kipengele
 
Wabongo mnakazi
Kwangu mimi nadhani amekujibu vizuri sana. Unajua kinachoiangusha nchi yetu ni watu kuwa tegemezi kwa kila kitu. Hapa JF mara nyingi utakuta watu wanaanzisha thread za kuomba ''nisome degree gani'' au ''nioe mke gani kati ya hawa''. Vuta picha, mpaka kusoma mtu wa degree level hajui kufanya maamuzi yake mwenyewe. Au hajui aoe mwanamke gani na anakuja kuulizia JF! Back to the topic: Mwanzisha thread kama ana ujuzi mzuri wa kazi anazoomba, ni hatari sana kutembea huku analalamika hana ajira. Hii ni kwa sababu hizo kazi unaweza kuzifanya bila kuajiriwa na bila ofisi. Na mtu mjuzi wa hizo kazi mara nyingi atajua masoko yalipo.
 
Uko vizuri ila mpaka upate MTU WA kukuelekeza namna ya kujiuza
Unampotosha pale unaposema ''mpaka upate mtu wa kukuelekeza namna ya kujiuza''. Kwa nini yeye asitafute namna ya kujiuza na badala yake asubiri mtu wa kumuelekeza? By the way sijui kwa Tanzania ila sehemu nyingine, ukisoma hii kozi za aina hii, lazima utasoma na masomo ya namna ya kuendesha project na marketing.
 
Unaongea Sana mkuu hakuna msingi katika elimu ya Tanzania unaompa namna ya kujua masoko kwa kazi hizo. Ingekuwa hivyo asingeomba ushauri.

Kitu kinachowafanya wabongo kwa kozi za IT na multimedia kuomba kazi ni mtaji, wewe unadhani ukishakuwa graphics utaishi kwa kazi za mtandaoni Tu? Wanaweza hivyo tayari washa side hustle sasa unakuta mtu kama huyu ana ujuzi ila hawezi kujiuza kwa sababu kunahitaji pesa na yeye ndo anatafuta.

Mimi huwa nashauri MTU kulingana na elimu ya Tz ajiriwa Kwanza upate kujua kazi hiyo linaendeshwaje pia ma wakati huo unajikusanya jamaa Hana makosa kama mna nafasi ya kazi mpeni mnafikiri mambo ni Rahisi?

Mwingine anasema awe freelancer utadhani ni simple.

Ushawahi jiuliza MTU ana big profile lakini Hana client? Tatizo nini?

Kuna road map lazima aipitie huyu Jamaal mpaka atoboe.
 
Back
Top Bottom