Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,447
- 13,133
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani.
Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi yake kwenye enoe lote la Tanganyika?
Najua sehemu mbalimbali ziliwatawaliwa kwa wakati tofauti, mfani miji ya pwani ilikuwa chini ya waarabu kwa miaka mingi kabla.
Sasa, tunavyosema Tanganyika ilitawaliwa na wakoloni, ilitawaliwa kuanzia mwaka gani? ilitawaliwa kwa miaka mingapi?