Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,979
3,919
Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini.

1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi
2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako
3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi unakipa Hela wanapeleka Jina Kwa wakubwa.
4. Interview za kazi rushwa , na watoto wa wakubwa wanapenyezwa
5. Wafanyabiashara wakubwa wanawapa Hela wakurugenzi wa bandari pesa nyingi mizigo itoke kiulaini bila Kodi.
6. CCM kushinda ubunge unatoa rushwa Kwa wajumbe.
7. maofisini watu wanalipwa posho wakati wanafanya kazi za majukumu yao humo humo ndani ya ofisi
8. Lodge unaajiri mtu anapangisha shortime anachukua pesa bosi hujui
9. dukani unaajiri mtu , analeta mizigo yake kinyemela anauza yake yako inadoda
10. Mwalimu anambaka mwanafunzi
11. Mwalimu na mwenyeshule ananunua mitihani Ili shule yake iwe ya kwanza
12. Waziri anahonga kamati ili bajeti yake isisumbuke
13. Ubungo unauziwa Kuku feki na aliekufa watu hawajali
14. Vijana wanaua paka wanatuuzia mishikaki
15. Dereva wa Serikali anakula Hela ya mafuta anaenda kutengeneza risiti feki mtaani
16. Unanunua changu unamlipa, Bado akuibia na tv
17. Panyaroad wanakukata mapanga hata kama Hela umewapa
18. Dj anahongwa apige nyimbo
19. Hata kuchepuka ni Moja ya Inshu za kitanzania

Kiufupi maadili hamna Serikalini Wala mtaani, kiufupi Watanzania sio waaminifu,
 
Wewe mwenyewe sijui kama una uelewa wa ya maishani.. unanivuruga tu.. fanya yako ishi uwe na furaha yako bila mawazo.
 
Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani , Serikalini,
1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi
2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako
3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi unakipa Hela wanapeleka Jina Kwa wakubwa.
4. Interview za kazi rushwa , na watoto wa wakubwa wanapenyezwa
5. Wafanyabiashara wakubwa wanawapa Hela wakurugenzi wa bandari pesa nyingi mizigo itoke kiulaini bila Kodi.
6. Ccm kushinda ubunge unatoa rushwa Kwa wajumbe.
7. maofisini watu wanalipwa posho wakati wanafanya kazi za majukumu yao humo humo ndani ya ofisi
8. Lodge unaajiri mtu anapangisha shortime anachukua pesa bosi hujui
9. dukani unaajiri mtu , analeta mizigo yake kinyemela anauza yake yako inadoda
10. Mwalimu anambaka mwanafunzi
11. Mwalimu na mwenyeshule ananunua mitihani Ili shule yake iwe ya kwanza.
12. Waziri anahonga kamati ili bajeti yake isisumbuke.
13. Ubungo unauziwa Kuku feki na aliekufa watu hawajali
14. Vijana wanaua paka wanatuuzia mishikaki
15. Dereva wa Serikali anakula Hela ya mafuta anaenda kutengeneza risiti feki mtaani
16. Unanunua changu unamlipa, Bado akuibia na tv
17. Panyaroad wanakukata mapanga hata kama Hela umewapa
18. Dj anahongwa apige nyimbo
19. Hata kuchepuka ni Moja ya Inshu za kitanzania

Kiufupi maadili hamna Serikalini Wala mtaani, kiufupi Watanzania sio waaminifu,
Hiyo namba 16 unampelekaje changudoa geto?
 
Kuna kipindi nilihoji,kwanini tulidai uhuru ilihari hatukuwa tayari kujibeba na kujisimamia,badala yake tunaenda kuomba msaada kwa tuliyemfurusha
 
Back
Top Bottom