Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,262
- 94,825
Asante maana nilikuwa naogopa kupiga simu kwa mtu hapa. Maana Iam sensitive, naogopa sana mambo ya mtandao.
kupiga simu na chitchat, wapi na wapi ndugu??
Asante maana nilikuwa naogopa kupiga simu kwa mtu hapa. Maana Iam sensitive, naogopa sana mambo ya mtandao.
kupiga simu na chitchat, wapi na wapi ndugu??
Duuh mnatutisha new members wakuu
unajistukia kwani siwewe mwenyewe.kwani ni nani mwenye Id zaidi ya moja?
Nalog off
unajistukia kwani siwewe mwenyewe.
Kweli kwan kila ki2 huwa kina sheria. Hivyo 2heshimu sheria na masharti.
vigezo gani vitatumika kumbainii mwenye ID zaid ya moja
wivu na unafiki mvizibiti kwanza maana wengine watatumia fulusa hii vibaya
W/end hii nnajisikia kupiga watu walau 20 ban ha ha ha,,, wacha nianze kupasha...
:fencing:
Usismsahau na Vin Diesel na Baba V. Manake wachokozi sana!