Tabia za mwanamke wa kigogo

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,016
Naomba kujuzwa mnaowajua vizuri wanawake wa kigogo wana tabia gani, mila na desturi zao
 
Wanapenda kuolewa na matajiri na wenye vyeo serikalini ndio maana waume zao wanaitwa vigogo kigogo mke wa kigogo wake za vigogo
 
Hawajipendi,wavumilivu akipenda kapenda hata umfanyie vituko gani usifikiri ataingia mitini labda uamue kumfukuza,ila kusaliti sio wagumu anaweza kuwachanganya marafiki zako na usijue kwakuwa wako loyal mpaka huwezi mdhania,wanyenyekevu,wagumu akiamua kufanya shughuli inayoleta maendeleo huwa hawakati tamaa hasa kwenye biashara,kilimo au ufugaji,pia wanapenda pombe...
 
Back
Top Bottom