Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,973
5,925
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina

Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..

Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000

Asanteni
 
20240429_145001.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wanyiramba kutoka singida mambo haya yatarajie kutoka kwake.
1.watoto watafanana nae
2.watoto watakuwa bright sana darasani.
3.Kama ni mkristo basi kanisani ni Kila jumapili
4.Hapo ni kufa na kuzikana Haina kuachana.
5.unaweza usiwe tajiri sana ila chakula hakitakosa ndani ya nyumba(Wana rizki)
6.Mara nyingi utakuwa na furaha
7.watu wanaweza kusema umerogwa ila ukweli ni utampenda sana.
8.Utafanya mapenzi kwa wiki mara 3.
9.Nyumba itakuwa na amani sana.
10.Ndugu watakutembelea Kila mara.
 
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina

Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..

Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000

Asanteni
Wewe oa, ukijikwaa anguka, ukiinuka utajua cha kufanya.
Maadam umempenda wewe oa, akizungua utageuzwa somo tu, masela watajifunzia kwako
 
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina

Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..

Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000

Asanteni
Wanyiramba hawana asili ya weupe. Wao ni weusi wenye meno ya kuungua kama Wachaga wa kishumundu. Huyo atakuwa mnyaturu. Tatizo Lenu mnadhani Kila atokaye singida au Kondoa ni mnyiramba
 
Wanyiramba kutoka singida mambo haya yatarajie kutoka kwake.
1.watoto watafanana nae
2.watoto watakuwa bright sana darasani.
3.Kama ni mkristo basi kanisani ni Kila jumapili
4.Hapo ni kufa na kuzikana Haina kuachana.
5.unaweza usiwe tajiri sana ila chakula hakitakosa ndani ya nyumba(Wana rizki)
6.Mara nyingi utakuwa na furaha
7.watu wanaweza kusema umerogwa ila ukweli ni utampenda sana.
8.Utafanya mapenzi kwa wiki mara 3.
9.Nyumba itakuwa na amani sana.
10.Ndugu watakutembelea Kila mara.
Mkuu ni dada zako nini mbona umewamwagia maua hivi?

NB: Sina faili lao. Ila umenishawishi nifike singida
 
Kwahiyo tuongee chochote tu ili watu wakoment right? This shows how we are educated but still living in an ignorant society. Cha kwanza tubadilishe mindset zetu alafu utaona kila tunachofanya kinaleta matokeo chanya kwenye jamii.
Mkuu. We mwenyewe jiulize kwanini ulichagua jukwaa hili na si lingine.
Msimamo wangu bado ni uleule

"Leta Uzi wa kubadili mindset uone, maana lengo ni kuwafikia watu, sasa watu wasipou access....
 
Kwahiyo tuongee chochote tu ili watu wakoment right? This shows how we are educated but still living in an ignorant society. Cha kwanza tubadilishe mindset zetu alafu utaona kila tunachofanya kinaleta matokeo chanya kwenye jamii.
Acha kutisha na kufokea watu Fidel mada ngumu zipo nyingi sana huko kwenye majukwaa mbalimbali
 
Back
Top Bottom