MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Mkuu wakati wewe unaangalia kitukio kidogo ktk uchaguzi wa marudio wa madiwan Mimi nimekupa reference kibao za matukio ya kinyama kibao ktk uvunjaji wa democracy. Ukitaka kufananisha hali ya democracy ya sasa na ya huko nyuma jitaid usiwe selective ktk kukumbuka matukio.Huko nyuma yametokea mengi sana.HUWEZI linganisha umwagaji damu wa arusha 2011 na vimatukio vya uchaguzi wa juzi.Ukiacha watu waliouawa kuna watu walivunjwa miguu.Na sio tukio hilo tu.Na kama uvunjaji wa democracy zaman ulikua wa kawaida basi huko Zanzibar CCM ingekuwa imetoka madarakan kitambo sana.Mkuu suifananishe visivyo fanana, nadhani hujuhi kilichotokea arusha kwenye umea,
au nikukumbushe tu, kuwa kilichotokea ni CDM walisusa upigaji kura bila kujua kuwa walishasinishwa fomu za posho amabzo zilikuja kutumika kuhalalisha AKIDI na UHUDHURIAJI wao wa kikao hicho cha uchaguzi, ambacho kilitangazwa gafla bila wao kujua kuwa siku hiyo ni ya uchaguzi.
hapa leo tuna zungumzia kutokuwepo kwa mawakala vituoni either kwa kunyimwa barua, kutekwa, kupigwa, kufukuzwa wakiwa vituoni na kufanyiw ahayohayo mawakala wakuu(naamini unajua kazi za wakala mkuu)