Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo

Mie nina Forester SH5 Turbo Charger ya 2010 na haijawahi nisumbua tangu niinunue mwaka jana.

Suala la kuzingatia ni service kwa wakati na kufunga genuine spare parts.

Nashauri uchukue non turbo kama una mishe za kawaida kwani turbo ni extra layer ya presha
 
Sina experience ya moja kwa moja ila inategemea na matumizi, kama unapita kwenye madimbwi au njia chafu na mashimo ndani ya miaka 2-3 inaanza kukuita.
Conversion kwenda hydraulic inawezekana ila kwa sasa inaweza kugharimu kama 2m au chini kidogo ya hapo
Zizzou muuza spare parts za Subaru pale mitaa ya shaurimoyo Ilala anabadilisha sterling za umeme kwenda hydraulic
 
Mie nina Forester SH5 Turbo Charger ya 2010 na haijawahi nisumbua tangu niinunue mwaka jana.

Suala la kuzingatia ni service kwa wakati na kufunga genuine spare parts.

Nashauri uchukue non turbo kama una mishe za kawaida kwani turbo ni extra layer ya presha
Kitu cha muhimu ni kuzingatia service Tu... hongera Sana mkuu
 
Niko mbioni kununua gari Aina ya Subaru forester xt series au SH series Kwa wale wajuzi wa magari na wenye experience za magari ipi gari nzuri in terms of ÷

1:ulaji mafuta
2: stability
3:ukubwa wa engine
4:uimara wa engine
5: comfort Ukiwa ndani ya gari

Na kampuni gani nzuri itaniletea chombo Safi kabisa toka japaniView attachment 2391203View attachment 2391204
Mkuu mimi ninazo zote mbili kwa sasa.
Mpaka sasa nimesha miliki aina tatu (SF5-A reg, SG5-B reg, SH5-D reg)

Pefomance ni tofauti kwenye ku take off.
Yenye turbo ni hatari kama si mzoefu, ukikanyaga mafuta unapaa.
Tofauti kubwa kati ya yenye turbo na isiyo na turbo ni mwanzoni unapo anza kuondoka, speed gain ni kali mno.

Ukisha fika kwenye speed za 100-130km/hr perfomance ziko sawa.
Zote zina mwendo mkali.

Majuzinimetoka Dodoma na nikapambana na RAV4 new model, nikamsambaratisha mzee RAV4 ingawaje alijitahidi sana.
Kiukweli shikamoo Forester.
 
Mkuu mimi ninazo zote mbili.
Pefomance ni tofauti kwenye ku take off.
Yenye turbo ni hatari kama si mzoefu, ukikanyaga mafuta unapaa.
Tofauti kubwa kati ya yenye turbo na isiyo na turbo ni mwanzoni unapo anza kuondoka, speed gain ni kali mno.

Ukisha fika kwenye speed za 100-130km/hr perfomance ziko sawa.
Zote zina mwendo mkali.

Majuzinimetoka Dodoma na nikapambana na RAV4 new model, nikamsamabarisha mzee RAV4 ingawaje alijitahidi sana.
Kiukweli shikamoo Forester.
Mkuu unanipa mzuka wa kununua hizi gari ingawa Mimi naitamani Sana Subaru forester za 2004 - 2007 zenye turbo..... niliogopa mwaka juzi kuchukua foresta nikaenda kwenye Toyota rumion ingawa moyo wangu upo kwenye foresta
 
Niko mbioni kununua gari Aina ya Subaru forester xt series au SH series Kwa wale wajuzi wa magari na wenye experience za magari ipi gari nzuri in terms of ÷

1:ulaji mafuta
2: stability
3:ukubwa wa engine
4:uimara wa engine
5: comfort Ukiwa ndani ya gari

Na kampuni gani nzuri itaniletea chombo Safi kabisa toka japaniView attachment 2391203View attachment 2391204

XT ndio ina turbo plain haina turbo( non turbo)
1. Ulaji wa mafuta ni karibia sawa ila kwenye highways XT ikifika almost speed 130 na rpms ikiwa juu turbo ikifunguka ulaji wa mafuta unaongezeka almost 30% pia uki washa s- drivee pia ulaji unaongezekaa. Kwenye highways 1ltr from 9-12km na 6-8 kwenye maeneo hasa ya mjini.

2. Stability ya Subaru sh5 ni nzuri (wastani) japo ni nyepesi sana hivyo ukipita barababa ambayo haijatulia( kama pale chalinze zile big G ) sio salama kukimbia , ila ukiwa umebeba kama watu wa 3 hv au mzigo kidogo angalau. Siti zake ziko chini kidogo kwa sababu ni gari zakukimbia kukupa balance.

3. Engine size 1990~ 2000cc kwa sh5 STI ni 2500cc na nyingi ni manually ( wengine wamesha elezea juu) engine ni jiwe kama utakuwa unafanya service kwa wakati, kwa mafundi wa Subaru (sio wa Toyota) , funga genuine parts zake (ni gharama kidogo zaidi ya Toyota) , sio kila oil unaweka , weka oil zenye standard ya kimataifa (antlantic, , liquily moil , castro etc.) usifanye service uchochoroni watakuwekea filter za kichina uatua engine mapema. Zingatia mafuta masafi ( tatizo kubwa sana sahvi) .

4. Ukiwa ndani ya gari xt ina kelele kidogo nadhani sababu ya ule mdomo wa turbo pale mbele .

Naipenda Subaru sh5 kwa Sababu ni gari nzuri ya bei yetu wajasiriamali wadogo , iko juu kwa rough road nzuri sana, kwenye utelezi iko vizuri sana ( kuna x- mass 1 nilipita ktk ya magari 5 yalinasa pembeni uko kijiji mm nika amsha intelligence button na VDC button nikapita ktk yao kama hakuna kilicho tokea ) ..
 
Pia angalizo , nunua za Japan na sio Singapore , za singapore alichemka sana spana mkononi sana . Ni vi fupi fulani hv pia zenye turbo hazijandikwa XT , ukiwa na pesa futa STI kabisa 2500cc , ukipata ya mmarekani weee!
 
Mkuu una maanisha Subaru ISIYO na Turbo ndo unaipendelea?
 
Mkuu unanipa mzuka wa kununua hizi gari ingawa Mimi naitamani Sana Subaru forester za 2004 - 2007 zenye turbo..... niliogopa mwaka juzi kuchukua foresta nikaenda kwenye Toyota rumion ingawa moyo wangu upo kwenye foresta
Mkuu Forester ni gari la sports, na inataka dereva makini.
Uta enjoy long trips na inakula mafuta kawaida tu.
Kama wewe ni mtu wa kunyanyasa barabarani, hii ndiyo gari.
Lakini ni mchezo hatari maaa inabidi udereva usiwe wa leseni kuletewa nyumbani.
Sitasahau nilitoka Makambako V6 Landcruiser ikamipita kwa fujo na ubabe.
Nikajiambia huyu jamaa haijui Subaru(turbo).
Nilikanyaga na tukawa sambamba hadi Iringa.
 
Mkuu mimi ninazo zote mbili.
Pefomance ni tofauti kwenye ku take off.
Yenye turbo ni hatari kama si mzoefu, ukikanyaga mafuta unapaa.
Tofauti kubwa kati ya yenye turbo na isiyo na turbo ni mwanzoni unapo anza kuondoka, speed gain ni kali mno.

Ukisha fika kwenye speed za 100-130km/hr perfomance ziko sawa.
Zote zina mwendo mkali.

Majuzinimetoka Dodoma na nikapambana na RAV4 new model, nikamsamabarisha mzee RAV4 ingawaje alijitahidi sana.
Kiukweli shikamoo Forester.
Napenda pale unapoituma fanya vile acha tu na ina tii
 
Kwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GT
Sasa hapa ipo EJ20 na EJ25 mkuu na zote ni xt, Kati ya hizo ipi yenye 230hp?
 
Pia angalizo , nunua za Japan na sio Singapore , za singapore alichemka sana spana mkononi sana . Ni vi fupi fulani hv pia zenye turbo hazijandikwa XT , ukiwa na pesa futa STI kabisa 2500cc , ukipata ya mmarekani weee!
Upo sahihi mkuu, ya Singapore haina hiyo badge ya XT ila ni turbo, pia nyingi 240kph... Zina majanga hizo acha kabisa... nina experience na moja ambayo ilikuwa ej25 with turbo.... miezi 6 ya mwanzo haikuwa na shida yeyote, baada ya hapo ilikuwa ni balaa...
Hapa ilizingua migori njia ya mtera na fundi alipiga spanner siku 4 bila mafanikio ikabidi niibebe tu... kabla ya hapo ilizingua Arusha, ikazingua mbeya yaani kwa kifupi ilikuwa ni michosho... ila ikiwa katika ubora wake ilikuwa ni moto balaaa... hizo 240kph kizifuta ilikuwa kawaida tu... now nimehamia kwenye 3GR
20210723_165747.jpg
 
Back
Top Bottom