Don Calipso
Member
- Dec 13, 2023
- 16
- 21
Habari wanajamvi!
Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA.
Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na kwamba serikali ya Kenya imeingiza somo la Jinsi ya Kutongoza kwenye mtaala wake wa elimu na somo hili litaanza kufundishwa rasmi mwaka 2024 na kwamba kitabu kitakachotumika kufundishia ni hiki cha huyu Dkt. Dyaboli.
Sasa hapa wakuu nina maswali mawili muhimu?
1. Je, taarifa hizi ni za kweli?
2. Kama ni kweli, kwanini na serikali ya Tanzania isifikirie kuliweka somo hili kwenye mtaala wa elimu walau hata kuanzia ngazi ya sekondari ili kupunguza matukio ya ubakaji?
Nawasilisha.
P.S.
Kitabu kinachozungumziwa ni hiki hapa kwenye attachment: