Soft copies

Naomba mwenye soft copy ya civil procedure law by Chipeta
Kama ni Act (CPC) hiyo apo 👇, lakini kumekua na mabadiliko (amendments) kadhaa yamefanyika toka 2019-2023, kwaio ni vizuri ukizitafuta (kuwa nazo) pia.

Ikiwa ni notes ingia hapa kwenye group la documents na notes za sheria utapata.​
 

Attachments

  • CHAPTER 33 - THE CIVIL PROCEDURE CODE_Kutoka Chapa__Final_.pdf
    1.1 MB · Views: 2
Weka namba yako ya Telegram nikutumie...

Huku ni kubwa sana siwezi kuupload
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom