Site visit reprentative is needed Kigamboni DSM

hoter one5

Member
Jun 5, 2013
13
14
Habarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am

Uwe na vitu hivi personal prptective equipment.

1. Steel toe safety boot

2. Cotton overcoat

3. Helment

Representing company
Ten associates
P.O.Box 148,
Songea

Check if you are willing transport and tea is our expenses no salary but its your connection
 
Habarini za muda huu tunashukuru kwa suport yenu tumepata mtu ambaye amechujua nafasi ya hitaji letu shukurani sana kwenu nyote na jamii forum kwa ujumla...asante
 
usipende kupotosha watu kwa kuamini kile unachokiamini wewe ndiyo wanachoamini jamii nzima...lakini siyo kosa lako ni ni mtaala wako goodluck
Mkuu, ebu rudia kusoma tangazo lako uliloweka pale juu alafu uje utueleze kwa kiswahili jinsi ulivyo elewa..😊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom