Sitashangaa 'Internet' kuendelea ya kubahatisha miezi kadhaa ijayo

Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.

**Ushuzi umepata mjambaji
Tatizo halikuwa mkongo wa Taifa. Fuatilia habari vizuri, usipotoshe watu
 
Nasubiria nione kama kifurushi cha wiki nilichokua nimeweka kitakatwa wakati hamna chochote nilichofanya 🙄
 
Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa.

**Ushuzi umepata mjambaji
Tuna hamia kwenye simu ndogo.. AKA viswaswadu... Tunanunua zetu modem na laptop au kama huna uweo ni internet cafe,,,, yaani kutumia mtandao ni mwezi hadi mwezi,,,, tena tukiingia dikk 10 nyingi inafanya jambo la msingi unapotea....

Hapo tutawaachia watumie wao na familia zao, nafsi zao zisuuzike wafurahi....
 
Back
Top Bottom