Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,697
12,437
Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu na sio kwaajili ya Wanawake wanaopenda pesa (Malaya).

UZI TAYARI.
 
Ni namna tu ya kumotivetiana...

Binafsi natafuta hela ili nipate nachokitaka.

Sasa linakuja swala la kula PREMIUM COOCHIES lazima na ww utoe premium package.. otherwise uta share tobo moja na wajinga wajinga (Mafala/Malofa). Kitu ambacho kwangu ni highly prohibited.
 
Hiyo ni kauli ya mtu aliekata tamaa hakuna mapenzi bila pesa usijidanganye hata akiwa mkeo,

Wanaume mmeumbiwa kuhudumia hii haikwepeki.

Halafu kizuri lazma ugharamie Without Money No Honey.
 
Hiyo ni kauli ya mtu aliekata tamaa hakuna mapenzi bila pesa usijidanganye hata akiwa mkeo,

Wanaume mmeumbiwa kuhudumia hii haikwepeki.

Halafu kizuri lazma ugharamie Without Money No Honey.
na Mwanamke anaoffer kwe mahusiano?
 
Tena nyinyi wa kujiapiza apiza hivi mkija kubananishwa mnabananishwa kweli. Ngoja tu uje uzipate hizo hela. Nakuombea!🙏🏿
 
Teh teh teh teeeeh!!
Key board warriors🤣🤣🤣

Cha msingi ni ZITAFUTENI.
 
Ukishazipata hizo hela ndo utajua kazi yake nini, kwa sasa zitafute kwanza.
 
Dunia iliaminishwa kuwa mwanamke kutoa mbususu ni kama kamhurumiabtu mwanaume kumbe na vyenyewe vinasikia raha😂😂

Kama tumekubaliana 50 50 basi twende nayo kwa haki sio 5 50 kwenye kinafki
 
Back
Top Bottom